Rais Samia tulikuonya kuhusu January Makamba

Rais Samia ulionywa sana kuhusu huyu mtu mtafuta madili ya kujaza tumbo lake badala ya kuhudumia wananchi, kiko wapi sasa?

Hamna alichokamilisha hata kimoja zaidi ya ngonjera tu za hapa na pale, umeme vijijini haujakamilika hadi leo, ameacha mgao wa kutisha wa umeme kila kona, huku akisaini mikataba ya mabilioni ya pesa na wawekezaji hewa kutoka nje.
Leo kamtumbua msukuma wa madini kamweka mavunde
 
'Msoga' wanamkuza ili aje awe mgombea 2030!
Hivi kwa akili gani alizo nazo hadi aongoze Taifa?
Kwanini tunafanya majaribio ya watu ambao akili ni finyu na ndogo?
Kwanza kwenye maadili sio mzuri kabisa!
'Msoga' umetukosea sana Tz tunaomba sasa achana na haya mambo!
 
Rais Samia ulionywa sana kuhusu huyu mtu mtafuta madili ya kujaza tumbo lake badala ya kuhudumia wananchi, kiko wapi sasa?

Hamna alichokamilisha hata kimoja zaidi ya ngonjera tu za hapa na pale, umeme vijijini haujakamilika hadi leo, ameacha mgao wa kutisha wa umeme kila kona, huku akisaini mikataba ya mabilioni ya pesa na wawekezaji hewa kutoka nje.
Alafu nape anamuacha
 
Inahusu nini?

January kishafanya Reforms na kwa marwnya kwanza tanesco inajiendesha "profeseionally". Kaiwekea mifumo mizuri kabisa.

Sasa anakwenda ku implement kwengine.

Hizo ndiyo Reforms and Rebuilding.

Ulitaka iweje?
 
Unaweza ukaitaja hiyo mifumo?
 
VP kuhusu lameck
 
Inahusu nini?

January kishafanya Reforms na kwa marwnya kwanza tanesco inajiendesha "profeseionally". Kaiwekea mifumo mizuri kabisa.

Sasa anakwenda ku implement kwengine.

Hizo ndiyo Reforms and Rebuilding.

Ulitaka iweje?
Kweli kabisa kafanya reforms nzuri na sasa tuna mgao wa umeme zaidi ya masaa 24.Kudos kwake
 
Rais Samia ulionywa sana kuhusu huyu mtu mtafuta madili ya kujaza tumbo lake badala ya kuhudumia wananchi, kiko wapi sasa?

Hamna alichokamilisha hata kimoja zaidi ya ngonjera tu za hapa na pale, umeme vijijini haujakamilika hadi leo, ameacha mgao wa kutisha wa umeme kila kona, huku akisaini mikataba ya mabilioni ya pesa na wawekezaji hewa kutoka nje.
Haya Sasa ni majungu na wivu,Makamba amefanya kazi nzuri pale Nishati
 
Back
Top Bottom