Kwanza mtu awalipe hao vijana ili iweje? Yeye anapata faida gani? Maana walioandamana ni vijana wengi sana ukisikia akili ni nywele ndio hiziAtuletee taarifa za miamala vinginevyo hizi ni blah blah
Nadhani hana taarifa halisi na anazopolekewa ni potoshiRais Samia amesema "Tunaambiwa kwamba vijana wale walioingia kudai haki walilipwa fedha kwanza ndiyo wakaingia barabarani, na wengi wao waliingia barabarani kutokana na hizo fedha walizopewa. Je, fedha hizo zilitoka wapi?" wakati akizindua Tume huru ya uchunguzi wa Matukio ya uvunjifu wa Amani yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi Oktoba 29, 2025
Sio kweli anajua vizuri sema anataka kuamisha magoal ili tume isijikite kwenye kiini chenyewe bahati mbaya Sasa ndio hajua kujenga hoja zenye nguvu hata kama ni uongo si ndio huyu alisema waliandamana ni raia wakigeni na huyu huyu pia akasema vijana wameshauwishiwa kwa kufuata mkumbo Leo hii kaja Tena na hii wamelipwa utaka kuniambia anashauriwa mtu gani anayeweza kumshauri kiasi hikiNadhani hana taarifa halisi na anazopolekewa ni potoshi
Rais Samia amesema "Tunaambiwa kwamba vijana wale walioingia kudai haki walilipwa fedha kwanza ndiyo wakaingia barabarani, na wengi wao waliingia barabarani kutokana na hizo fedha walizopewa. Je, fedha hizo zilitoka wapi?" wakati akizindua Tume huru ya uchunguzi wa Matukio ya uvunjifu wa Amani yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi Oktoba 29, 2025
Rais Samia amesema "Tunaambiwa kwamba vijana wale walioingia kudai haki walilipwa fedha kwanza ndiyo wakaingia barabarani, na wengi wao waliingia barabarani kutokana na hizo fedha walizopewa. Je, fedha hizo zilitoka wapi?" wakati akizindua Tume huru ya uchunguzi wa Matukio ya uvunjifu wa Amani yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi Oktoba 29, 2025
Nasikitika kusema au kuandika haya maoni yangu....Rais Samia amesema "Tunaambiwa kwamba vijana wale walioingia kudai haki walilipwa fedha kwanza ndiyo wakaingia barabarani, na wengi wao waliingia barabarani kutokana na hizo fedha walizopewa. Je, fedha hizo zilitoka wapi?" wakati akizindua Tume huru ya uchunguzi wa Matukio ya uvunjifu wa Amani yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi Oktoba 29, 2025
Kwanza kabisa yeye mama Samia alisema wanaoandama ni raia wa nje, akaja Tena akasema vijana wameshauwishiwa Leo Tena anakuja na kauli ya vijana wamelipwa hivi unamuelewa? Kumtetea huyu mama ni kazi ngumu alafu kumbuka hapa kashaunda Tume ila majibu ya tume kashayatoa tayariHilo la hela hata mimi nimesikia. Of course siyo wote lakini wale key agitators walikuwa paid tu.
Hilo la hela hata mimi nimesikia. Of course siyo wote lakini wale key agitators walikuwa paid tu.