Kingine chakujiuliza huyo anayesema amewalipa vijana kuandamana kwa vijana yeye anapata faida gani? Kwahiyo wale wote walikuwa wanahamasishana mitandao yote, comment zote zile ni kwamba wamelipwa? Huyo mtu anapesa ya kiasi gani afanye hivyo na return yake ni Nini? Unajaribu kuchekecha lakini havimake senseSio vijana tu, hata polisi na vikosi vyake vililipwa.
Na kama anataarifa zote hizi tume anaunda ya nini?.
Vijana walilipwa tsh ngapi kujitoa muhanga ili wafe?.
Inabidi hiyo tume ianze naye Samia awape taarifa kuhusu hicho anachokisema. Hii tume tayari itakuwa biased kwenye matokeo yake kwa kuwa aliyewatuma anataka majibu ya maswali anayoyapenda tu. Sasa tume ikika na jawabu linaloonesha hakukuwa kitu kama hicho ataipokeaje?Rais Samia amesema "Tunaambiwa kwamba vijana wale walioingia kudai haki walilipwa fedha kwanza ndiyo wakaingia barabarani, na wengi wao waliingia barabarani kutokana na hizo fedha walizopewa. Je, fedha hizo zilitoka wapi?" wakati akizindua Tume huru ya uchunguzi wa Matukio ya uvunjifu wa Amani yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi Oktoba 29, 2025
Hahaha wanataka kucheza na akili za watu, siku 10 nyingi siku 1 tu km BBC na DW wamechunguza siku 1 mpaka 3 hao wanawapa 90 za nini?Siku 90? Wako serious? Wafanye kazi usiku na Mchana. 10 days report itoke. Siku 90 wanachunguza Nini? Ambacho hakijulikani?
trying to gather some new dataAny satellite evidence?
Msigwa ndiyo Goebbles wa Tanzania.Uongo jamani.Siasa za 1945 za Joseph Goebbles rafiki wa Hitler za kusema uongo. This is 2025 Samia acha upumbavu.
Tarehe 29 si ilikuwa siku ya mapumziko?Kuna mwl mwenzako kama ww naye alijifanya anatafuta haki wakati nae kutwa anatoroka kazini yaani saa 7 TU yupo kitaa...now walimdaka kwenye maandamano yupo segerea now...sasa unajiuliza ni haki Gani alikuwa anaidai wakati yy ndo alikuwa haitimizii haki nchi
shule ndio tatizo hapa.Rais Samia amesema "Tunaambiwa kwamba vijana wale walioingia kudai haki walilipwa fedha kwanza ndiyo wakaingia barabarani, na wengi wao waliingia barabarani kutokana na hizo fedha walizopewa. Je, fedha hizo zilitoka wapi?" wakati akizindua Tume huru ya uchunguzi wa Matukio ya uvunjifu wa Amani yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi Oktoba 29, 2025