Matagaaa...Matagaaaa...Matagaaa...[emoji23].. Njooni kuna jambo lenyu hukuuu..njoooni fastaaaKupitia mahojiano maalumu na DW Rais Samia amesema kwamba Serikali imefuta kesi zote za Tundu lissu zilizokuwa mahakamani hivyo kama tatizo ni kesi arudi Tanzania...
Tusio na Dada ?
Kufuta au kutofuta iwe kwa mujibu wa haki na sheria sio sababu anatoa hisani....
Wanasubiria wabaya wake wote wafe au watoke kwenye mfumo.Je yule jamaa wa Arusha mjini atarudi lini
Nchi sio chama wala hatimiliki ya chama chochote.Tza bila ccm itaendelea kuwepo tuHuyu mama hawajui maadui zake, alimruhusu mbowe kupiga misele akaja kustuka akaona anamuharibia Leo anamkaribisha kivuruge wa CCM Je unahisi kutakucha salama kabla ya 2025?
Anakusikia ujue!. Nasikia masikio huwa hayafi shauri yako!Mama ni mwenye huruma sio lile jamaa lililotafsiri upinzani ni UHAINI
Komenti ya kibabe sana hii,kama mieleka.Sisi hatuna nongwa na mtu akizingua tunakutanguliza
Vizuri kufuta kesi lakini muhimu na wale wengine kina Lema na Wenje nao wapewe uhakika warejee nchini.
Kwani hakuna Tuition ya hivi wakati unaingia madarakani?Controlled opposition...Magu hakulielewa hili,maybe because hakuwa insider
Hahahahaaaaalile sio JAMAA... Hakuwa na UJAMAA wowote...
Mbona JK aliwaweza?. Na huyu atawaweza tu. Roli Modo.Hapo ndipo swali linakuja WATAWEZANA?
Mbona JK aliwaweza?. Na huyu atawaweza tu. Roli Modo.
Mkwamishaji ni hatari zaidi. Kuna kuongea na kuna kukwamisha.Samia Kashindwa kumvumilia spika wake wa bunge ndugai kamtimua ataqwza kuvumilia maneno ya tundu lisu?
hizo kesi za awamu ya 5 zimefutwa ila uenda zikaja za awamu ya 6
Itafika wakati Lissu ataweka shart atakama akirudi yeye na dereva wake wasiohojiwe na police kuhusu kushambuliwa kwake ila tu police wafanye uchunguzi kwa njia nyingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambieni sasa huyo mr belgiji arudi, au kanogewa na amsterdam?Mama ni mwenye huruma sio lile jamaa lililotafsiri upinzani ni UHAINI
Asante Mama Samia Suluhu HassanKupitia mahojiano maalumu na DW Rais Samia amesema kwamba Serikali imefuta kesi zote za Tundu lissu zilizokuwa mahakamani hivyo kama tatizo ni kesi arudi Tanzania...