Rais Samia: Tumefuta kesi zote za Tundu Lissu, mimi na Lissu hatuna Ugomvi

Rais Samia: Tumefuta kesi zote za Tundu Lissu, mimi na Lissu hatuna Ugomvi

Kupitia mahojiano maalumu na DW Rais Samia amesema kwamba Serikali imefuta kesi zote za Tundu lissu zilizokuwa mahakamani hivyo kama tatizo ni kesi arudi Tanzania...
Matagaaa...Matagaaaa...Matagaaa...[emoji23].. Njooni kuna jambo lenyu hukuuu..njoooni fastaaa
 
Huyu mama hawajui maadui zake, alimruhusu mbowe kupiga misele akaja kustuka akaona anamuharibia Leo anamkaribisha kivuruge wa CCM Je unahisi kutakucha salama kabla ya 2025?
Nchi sio chama wala hatimiliki ya chama chochote.Tza bila ccm itaendelea kuwepo tu
 
Back
Top Bottom