Kuna yule mzee mmoja maarufu aliwahi kusema: "mshahara ni pesa ya kula tu"


JESUS IS LORD.
 
Pigo kubwa kwa walinda legacy!!
 

Hujui kuwa huo mshahara wameu consolidate? Maana yake house and transport allowances humo humo huzioni , zamani walikuwa wanaonyesha kwenye slip.
Michango wa mwenge ni hiari hakuna mfanyakazi anaelazimishwa atoa.
 
Unayoijua ni kiasi gani?
Hakuna specific kiasi kuna rate ambayo ni 5% of basic salary kwa walio perform vizuri sana 3% kwa walio perform vizuri na 0% kwa walio perform wastani.
 
Hujui kuwa huo mshahara wameu consolidate?

Kwahiyo, mishahara ya wabungr, waasiasa, wafanyakazi wa mashirika yenyewe haina haha ya kuwa consolidated.

Ila Mshahara wa mfanyakazi Halmashauri, ndio unatakiwa kuwa consolidated.

Haya salary slip hiyo hapo chini, nambie upi ni MSHAHARA, ipi ni TRANSPORT ALLOWANCE na ipi ni HOUSE ALLOWANCE??
Maana yake house and transport allowances humo humo huzioni , zamani walikuwa wanaonyesha kwenye slip.
Kwahiyo Kama zamani walikuwa wanaonesha, kilichomfanya waache kuonesha ni Nini?
Michango wa mwenge ni hiari hakuna mfanyakazi anaelazimishwa atoa.
Michango ya mwenge ni hiari, haipo kisheria.

Ila ukiandikiwa barua ya VITISHO kutoka kwa Mwajiri wako, utoe mchango.

Na majina ya wote waliochanga yapelekwe kwake.

HAKUNA uhiari Tena hapo.

Hususani unapotishiwa na mtu anayrtakiwa kuhakikisha unapata haki zako.
 

Attachments

  • FB_IMG_16705560437762540.jpg
    24 KB · Views: 14
Pigo kubwa kwa walinda legacy!!
Tunapo sema yule jiwe alikuwa nduli wa taifa muwe unaelewa. Huu utaratibu ulikuwepo kisheria kila mwaka wafanyakazi kuongezewa fedha kukidhi hali ya maisha. Lakini Magufuli kwa ubinafsi na ukatili kwa kuwa yeye anakula kulala bure usafiri bure akazuia kupanda mishahara na hata ile nyongeza kwa mwaka ambayo ipo kisheria.
Jamaa alikuwa na roho mbaya halafu ana wivu wa kimaskini kupambna na matajiri. Alitaka kila mtu amnyenyekee yeye kujiona kama Mungu lakini Apandacho mtu ndicho atakacho vuna. Ni Biblia inasema sio mimi.
 
Hakuna specific kiasi kuna rate ambayo ni 5% of basic salary kwa walio perform vizuri sana 3% kwa walio perform vizuri na 0% kwa walio perform wastani.
Wewe jamaa unajua kweli mifumo ya Serikali ilivyo au unasimuliwa tu na wewe?

Kwa Tanzania, walio perform vizuri sana, wastani au vizuri wanajulikanaje??
 
Unaonesha hata haujasoma kilichoandikwa.

Ikiwa kusoma huwezi basi hata kusikia pia huwezi?
Kwakua hujapenda kusikia niyasemayo unahisi sikuelewa. Kilichofanyika siyo cha kuimbiwa ngonjera na mapambio humu.
 
Sijui umeanza kazi lini. Though ilikua around 20000 hadi 40000, lakini haikua kila mwaka. Hapo inapaswa ulijue hili haikuwa kila mwaka, sio kweli kwamba 2006,07,08,09,10,11,12,13,14,15 ilikua inaongezeka.
From 2016 kilikuwa kinaongezeka nn mpaka Samia anchukua uongozi?
 
Kwakua hujapenda kusikia niyasemayo unahisi sikuelewa. Kilichofanyika siyo cha kuimbiwa ngonjera na mapambio humu.
Wewe huna kazi nini? Wafanyakazi wote wamefurahi leo kwa kuongezwa mishahara, wewe unahororoja bila mpango.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…