Rais Samia: Tunaandaa mradi wa kuomba hela za kujenga stendi. Hayati Magufuli asingethubutu kusema kitu cha kujitweza utu wetu namna hiyo... never!

Unaomba hela ya nini,si uuze ndege moja ujenge stand,stand inaingiza pesa nyingi Sana kwa siku kuliko ndege
 
Ccm itaendelea kutawala kwa kuwa ndiyo chama pekee kinachounganisha nchi kwa misingi ya visiwani na bara,dini..tofauti na vyama vingine ambavyo Aisha having uungwaji mkono pande mbili za muungano,na vinaungwa mkono kwa misingi ya dini na kabila
Bring back our 1.5 trillion za watanzania.
 
Ccm itaendelea kutawala kwa kuwa ndiyo chama pekee kinachounganisha nchi kwa misingi ya visiwani na bara,dini..tofauti na vyama vingine ambavyo Aisha having uungwaji mkono pande mbili za muungano,na vinaungwa mkono kwa misingi ya dini na kabila
Nchi sio chama,hata ikifa nchi itaendelea kuwepo
 
Magufuli alikuwa MWONGO na akasababisha hata wa chini yake kuwa waongo. Na hata alipokufa tuliendelea kuambiwa uwongo na Majaliwa kuwa yuko ofsini anapitia mafaili.

Rais SSH endelea kuwa mkweli, penye hatuna pesa ongeza tozo au kakope, period
JPM alikudanganya nini hebu fafanua kidogo.

Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
 
WanaCCM mmezoea unafiki na mnaona Mtu muwazi anawadhalilisha. Huyo u ayemsifia ndo kaua mashirika ya Umma Kwa mikopo kamdamizi, ndo kapaisha deni la Taifa kimyakimya Hadi nchi inanula madeni. Acheni unafiki.
Shirika gani la umma limekufa chini ya JPM fafanua tafadhali

Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
 
Wewe msukule wa mbowe, mikopo unapinga na tozo unapinga.

Unataka nini ?

Atolewe makengeza jela aje kukupelekea moto ?
 
Tatizo lako ulishazoea kudanganywa na meko

Meko alikuwa anaomba pesa zote kimya kimya.

Samia anaongea ukweli na hafichi

Wewe tulia utaona mabadiliko mengi sana ndani ya kipindi kifupi kwa sababu mama sio mwizi tofauti na jambazi meko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…