Nawaza tu kwa sauti kuwa tabia ya mama wengi ni utegemezi, hata kama yeye anafanya kazi au ana kipato kizuri, bado atamtegemea mwanaume (mme/mshikaji).Ikitokea Samia Suluhu Huseein amepigwa spana ya kushirikiana na nchi za Magharibi kama yule Al Bashir wa Sudan sijui atawezaje kuendesha nchi. Maana dependency syndrome imemkaa sana kwenye damu
Mkuu,kipindi jk anatoka madarakani,aliacha SGR imejengwa aslimia ngapi? Hydro power kwa aslimia ngapi? Daraja la Kigongo kwa aslimia ngapi?Awamu ya 5 hawakufanya lolote zaidi ya majisifu tu .
Miradi mingi ilikuwa ni ya awamu ya mh Kikwete.
Hiyo miradi na midege unadhani ni bei ya sambusa.Angalia deni kuu la taifa miaka 5 ya Maghufuli limepanda kuliko kipindi kingine chochote mara mbili.
Kwa Maghufuli ndiyo tumekopa kuliko ma Rais wengine
Akiwa anajibu kero za wananchi kuhusu stendi ya Arusha, Rais Samia Hassan leo amesema "Kuna mradi tunaundaa wa kuomba hela hizi za stendi, tukipewa tuna nia maeneo mengi yawe na stendi za kisasa"
____________________________________________
Magufuli anabiringika kaburini.
Tulikuwa tunaambiwa tembeeni kifua mbele, sisi ni matajiri, na kama ni kukopwa hela wanazileta wenyewe, hatuombi.
Sasa tutatembea vichwa chini mbele ya dunia.
Mpaka stendi tunaomba hela?
Hivi stendi ya Mbezi tulipata wapi hela?
Nimesikitika kupita maelezo. Tunarudi kule kule kwenye kuishi kwa kuomba omba kwa enzi za bwana yule wa Bagamoyo.
Kivuruge una hasira kama mkiziKunguni mkubwa wewe kwani wewe hutaviringika kaburini mwana haramu mkubwa? Dodoma stand Nani kajenga, mbez Luis nan kajenga, Alienda kwa awamu, JPM ametaka kuwafufulia reli machame na wenzake akaanza kuhujum miundombinu , stand kila mkoa zingejengwa
Si mlituambia ni makusanyo yetu ya ndani ?!. Imekuwaje mnaona Samia kukopa ni haramu ?H
Hiyo miradi na midege unadhani ni bei ya sambusa.
Kila kitu kipo wazi, siyo lazima nikutafunie tafuna mwenyewe then umeze!.Twambie basi wewe unaye yajua hayo mambo
Dini inamkatazaSi mlituambia ni makusanyo yetu ya ndani ?!. Imekuwaje mnaona Samia kukopa ni haramu ?
Awamu ya 5 imetekeleza miradi mingi ya awamu ya 4.Mkuu,kipindi jk anatoka madarakani,aliacha SGR imejengwa aslimia ngapi? Hydro power kwa aslimia ngapi? Daraja la Kigongo kwa aslimia ngapi?
Yes na ndo tunachotaka muendelezo,si kila anayekuja anataka aanzie zeroAwamu ya 6 imetekeleza miradi mingi ya awamu ya 5.
Tatizo siyo muendelezo bali ni chawa wanao jinadi kila kukicha kuwa miradi yote ni ya awamu yaoYes na ndo tunachotaka muendelezo,si kila anayekuja anataka aanzie zero
Huo ndio uzalendo.Na sisi wa mkoa wa Kagera hatuna stendi wala soko la kisasa. Tukumbukwe jamani mkoa huu unapakana na nchi 3 lkn stendi na soko ni zilizorithiwa kutoka kwa wakoloni. Over 50years ago!! Kwanini?
Hiyo ndo tatizo mkuu.Tatizo siyo muendelezo bali ni chawa wanao jinadi kila kukicha kuwa miradi yote ni ya awamu yao
Hawa ni wapiga zumari tu wasiyo jua nchi inakwendajeSi mlituambia ni makusanyo yetu ya ndani ?!. Imekuwaje mnaona Samia kukopa ni haramu ?
Tazama kwanza ID yake ndiyo utajua hasira zinaanzia wapi.Kivuruge una hasira kama mkizi
Nimenukuu kipande cha maelezo yako ambacho nilivutiwa nacho.Tujitegemee hiyo quòte ni yangu kweli.
Akiwa anajibu kero za wananchi kuhusu stendi ya Arusha, Rais Samia Hassan leo amesema "Kuna mradi tunaundaa wa kuomba hela hizi za stendi, tukipewa tuna nia maeneo mengi yawe na stendi za kisasa"
____________________________________________
Magufuli anabiringika kaburini.
Tulikuwa tunaambiwa tembeeni kifua mbele, sisi ni matajiri, na kama ni kukopwa hela wanazileta wenyewe, hatuombi.
Sasa tutatembea vichwa chini mbele ya dunia.
Mpaka stendi tunaomba hela?
Hivi stendi ya Mbezi tulipata wapi hela?
Nimesikitika kupita maelezo. Tunarudi kule kule kwenye kuishi kwa kuomba omba kwa enzi za bwana yule wa Bagamoyo.
Kwa hiyo wewe unakubali kuwa,ili kununua madege serikali ilikopa?H
Hiyo miradi na midege unadhani ni bei ya sambusa.
Angalia deni kuu la taifa miaka 5 ya Maghufuli limepanda kuliko kipindi kingine chochote mara mbili.
Kwa Maghufuli ndiyo tumekopa kuliko ma Rais wengine
H
Hiyo miradi na midege unadhani ni bei ya sambusa.
Wewe ni nani, 'Matola'?Na wewe ni yatima au mjane wa Sukuma gang?
Mama Samia ni yeye mpaka 2040 elewa hili kwanza ili usipate kisukari bure.