Akiwa anajibu kero za wananchi kuhusu stendi ya Arusha, Rais Samia Hassan leo amesema "Kuna mradi tunaundaa wa kuomba hela hizi za stendi, tukipewa tuna nia maeneo mengi yawe na stendi za kisasa"
____________________________________________
Magufuli anabiringika kaburini.
Tulikuwa tunaambiwa tembeeni kifua mbele, sisi ni matajiri, na kama ni kukopwa hela wanazileta wenyewe, hatuombi.
Sasa tutatembea vichwa chini mbele ya dunia.
Mpaka stendi tunaomba hela?
Hivi stendi ya Mbezi tulipata wapi hela?
Nimesikitika kupita maelezo. Tunarudi kule kule kwenye kuishi kwa kuomba omba kwa enzi za bwana yule wa Bagamoyo.
Hii haina tatizo, na Rais hajakosea kabisa...
Fedha iko kwa watu. Kinachotakiwa ni kutengeneza maziñgira ya kumvutia na kumshawishi mtu mwenye kitu ikiwemo fedha akupe kitu au fedha hizo kwa njia yoyote ile; aidha mchango wa hiari, kuchangia maendeleo, kulipa kodi au msaada...
Huyu [Magufuli] unayejaribu kumtetea na kutaka kutuaminisha kuwa "yeye alikuwa anakunya hela" achana naye kabisa kwa sababu alikuwa mwongo na mwizi tu...
Mfano; unadhani fedha alizokuwa anatamba nazo kuwa ooh sisi dona kantri unafukiri zilikuwa zinashuka kama mana toka hewani...?
The answer is BIG "NO"
Kwa sababu kwa uongo wake aliaminisha watu kuwa alikuwa anapata fedha kimiujiza wakati alikuwa anapata kutoka kwa watu kama kodi, misaada, mikopo au michango na wakati mwingine aliwaibia wananchi wake kwa nguvu...!
Najua utasema; ooh, yeye alikuwa anakusanya kodi. Ukisema hivyo, nami nitakuuliza, hizo kodi zilikuwa zinalipwa na miti au watu..?
Jibu ni NA WATU tena mahali pengine alikuwa anachukua fedha za watu wake [raia wake] fedha kwa nguvu na kwa njia ovu za wizi wa waziwazi....
Ni afadhali sana huyu mama yuko wazi kusema njia anayokwenda kutumia kupata fedha ili serikali izitumie kutoa huduma kwa watu...
Magufuli was a sadist, hooligan and a beast animal. Hukufaa kuwa Rais...