Rais Samia: Tunaandaa mradi wa kuomba hela za kujenga stendi. Hayati Magufuli asingethubutu kusema kitu cha kujitweza utu wetu namna hiyo... never!

Rais Samia: Tunaandaa mradi wa kuomba hela za kujenga stendi. Hayati Magufuli asingethubutu kusema kitu cha kujitweza utu wetu namna hiyo... never!

Ikitokea Samia Suluhu Huseein amepigwa spana ya kushirikiana na nchi za Magharibi kama yule Al Bashir wa Sudan sijui atawezaje kuendesha nchi. Maana dependency syndrome imemkaa sana kwenye damu
Nawaza tu kwa sauti kuwa tabia ya mama wengi ni utegemezi, hata kama yeye anafanya kazi au ana kipato kizuri, bado atamtegemea mwanaume (mme/mshikaji).

Mama Waziri wa Mambo ya Nje, amshauri Mama Rais kuwa "demokrasia ya uchumi" ni "nipe nikupe" na siyo mikopo/misaada za kununua bidhaa kutoka huko huko na kuongeza utegemezi.
 
Awamu ya 5 hawakufanya lolote zaidi ya majisifu tu .

Miradi mingi ilikuwa ni ya awamu ya mh Kikwete.
Mkuu,kipindi jk anatoka madarakani,aliacha SGR imejengwa aslimia ngapi? Hydro power kwa aslimia ngapi? Daraja la Kigongo kwa aslimia ngapi?
 
Akiwa anajibu kero za wananchi kuhusu stendi ya Arusha, Rais Samia Hassan leo amesema "Kuna mradi tunaundaa wa kuomba hela hizi za stendi, tukipewa tuna nia maeneo mengi yawe na stendi za kisasa"

____________________________________________

Magufuli anabiringika kaburini.

Tulikuwa tunaambiwa tembeeni kifua mbele, sisi ni matajiri, na kama ni kukopwa hela wanazileta wenyewe, hatuombi.

Sasa tutatembea vichwa chini mbele ya dunia.

Mpaka stendi tunaomba hela?

Hivi stendi ya Mbezi tulipata wapi hela?

Nimesikitika kupita maelezo. Tunarudi kule kule kwenye kuishi kwa kuomba omba kwa enzi za bwana yule wa Bagamoyo.

Hii haina tatizo, na Rais hajakosea kabisa...

Fedha iko kwa watu. Kinachotakiwa ni kutengeneza maziñgira ya kumvutia na kumshawishi mtu mwenye kitu ikiwemo fedha akupe kitu au fedha hizo kwa njia yoyote ile; aidha mchango wa hiari, kuchangia maendeleo, kulipa kodi au msaada...

Huyu [Magufuli] unayejaribu kumtetea na kutaka kutuaminisha kuwa "yeye alikuwa anakunya hela" achana naye kabisa kwa sababu alikuwa mwongo na mwizi tu...

Mfano; unadhani fedha alizokuwa anatamba nazo kuwa ooh sisi dona kantri unafukiri zilikuwa zinashuka kama mana toka hewani...?

The answer is BIG "NO"

Kwa sababu kwa uongo wake aliaminisha watu kuwa alikuwa anapata fedha kimiujiza wakati alikuwa anapata kutoka kwa watu kama kodi, misaada, mikopo au michango na wakati mwingine aliwaibia wananchi wake kwa nguvu...!

Najua utasema; ooh, yeye alikuwa anakusanya kodi. Ukisema hivyo, nami nitakuuliza, hizo kodi zilikuwa zinalipwa na miti au watu..?

Jibu ni NA WATU tena mahali pengine alikuwa anachukua fedha za watu wake [raia wake] fedha kwa nguvu na kwa njia ovu za wizi wa waziwazi....

Ni afadhali sana huyu mama yuko wazi kusema njia anayokwenda kutumia kupata fedha ili serikali izitumie kutoa huduma kwa watu...

Magufuli was a sadist, hooligan and a beast animal. Hukufaa kuwa Rais...
 
Kunguni mkubwa wewe kwani wewe hutaviringika kaburini mwana haramu mkubwa? Dodoma stand Nani kajenga, mbez Luis nan kajenga, Alienda kwa awamu, JPM ametaka kuwafufulia reli machame na wenzake akaanza kuhujum miundombinu , stand kila mkoa zingejengwa
Kivuruge una hasira kama mkizi
 
Mkuu,kipindi jk anatoka madarakani,aliacha SGR imejengwa aslimia ngapi? Hydro power kwa aslimia ngapi? Daraja la Kigongo kwa aslimia ngapi?
Awamu ya 5 imetekeleza miradi mingi ya awamu ya 4.
 
Yes na ndo tunachotaka muendelezo,si kila anayekuja anataka aanzie zero
Tatizo siyo muendelezo bali ni chawa wanao jinadi kila kukicha kuwa miradi yote ni ya awamu yao
 
Na sisi wa mkoa wa Kagera hatuna stendi wala soko la kisasa. Tukumbukwe jamani mkoa huu unapakana na nchi 3 lkn stendi na soko ni zilizorithiwa kutoka kwa wakoloni. Over 50years ago!! Kwanini?
Huo ndio uzalendo.
 
Akiwa anajibu kero za wananchi kuhusu stendi ya Arusha, Rais Samia Hassan leo amesema "Kuna mradi tunaundaa wa kuomba hela hizi za stendi, tukipewa tuna nia maeneo mengi yawe na stendi za kisasa"

____________________________________________

Magufuli anabiringika kaburini.

Tulikuwa tunaambiwa tembeeni kifua mbele, sisi ni matajiri, na kama ni kukopwa hela wanazileta wenyewe, hatuombi.

Sasa tutatembea vichwa chini mbele ya dunia.

Mpaka stendi tunaomba hela?

Hivi stendi ya Mbezi tulipata wapi hela?

Nimesikitika kupita maelezo. Tunarudi kule kule kwenye kuishi kwa kuomba omba kwa enzi za bwana yule wa Bagamoyo.

Tatizo hamlipi kodi? tozo ikiwekwa ni kelele chungu nzima sasa pesa itoke wapi wakati haohao ndiyo wanataka wamachinga ambao hawalipi kodi
 
H

Hiyo miradi na midege unadhani ni bei ya sambusa.
Kwa hiyo wewe unakubali kuwa,ili kununua madege serikali ilikopa?

Waambie wenzako wanaoamini kuwa zilinunuliwa kwa fedha za ndani
Angalia deni kuu la taifa miaka 5 ya Maghufuli limepanda kuliko kipindi kingine chochote mara mbili.

Kwa Maghufuli ndiyo tumekopa kuliko ma Rais wengine

H

Hiyo miradi na midege unadhani ni bei ya sambusa.
 
Na wewe ni yatima au mjane wa Sukuma gang?

Mama Samia ni yeye mpaka 2040 elewa hili kwanza ili usipate kisukari bure.
Wewe ni nani, 'Matola'?
Napata taabu sana kujibu takataka kama hiyo uliyobandika hapo.
 
Back
Top Bottom