PreGE2025 Rais Samia: Tusi-gwajimanize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje. Ukicheza ngoma si yako lazima utaharibu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Tafsiri yake nini kwa mwendawazimu anaweza kutafsiri kuwa matendo hayo ni halali Tanzania.Inawezekana Gwajima alitoka nje ya msimamo wa chama kwa tafsiri ya mheshimiwa lakini ukweli ni ukweli tu na haugawanyiki.
Mpaka sasa Gwajima ni shujaa wa Taifa wapenda haki wote wapo nyuma yake iwe kwa uwazi na hata moyoni
 
Hoja sio kujisifu mkuu , jibu hoja zangu kama mtu mwenye akili timamu kwa sasa
 
Hoja sio kujisifu mkuu , jibu hoja zangu kama mtu mwenye akili timamu kwa sasa
huna hoja gentleman dhidi ya uamuzi wa wana kawe na huwez kua na hoja dhidi ya hilo zaid ya kujenga dhana potofu ambayo haitakua na athari zozote dhidi ya uamuzi wa wananchi wa kawe 🐒
 
Si ni Gwajima aliyeongoza kampeni ya kutochanjwa chanjo ya covid,au ni mwingine? Kama ni yeye usitegemee atatishika. Ubunge walimpa wao kumziba mdomo. Kumbuka hakushinda kura za maoni na alikuwa kwenye vita Kali na Makonda, mtoto kipenzi cha JPM, lakini pamoja na yote alimpitisha ili azibe mdomo.
 
Huyu bimkubwa abdul hana akili
Washauri wake ni wa hovyo ebu mfano uwe na mshauri kama Amos makala mpenda Dili Dalali wa siasa mnunuzi wa G55 kwenda ubwabwa unategemea nini? ccm ya sasa ni ya hovyo sana
 
Ndio madhara ya ile chacho ya COVID 19.
Yeye hataka chakula kipelekwe mezani,akalia jikoni hukoooooo wenzie wakashangaa kumuona anachokonoa nyama kutoka menoni kwa toothpick.

Hiki ambacho hakija nona anawalzimisha kila mmoja apukuliwe kwenye kisosi,hii siyo haki sema tu sisiyemu ni mateka na hawana namna ya kukombolewa maana woooote ni mateka.
 
Hii nilijua mama ata hit firmlly back, ndio ilikuwa golden chance kum flame gwajima. Sasa tusubiri reactio ya gwajima kama hana cha kupoteza au ikawa mchezo wa tom and jerry
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…