PreGE2025 Rais Samia: Tusi-gwajimanize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje. Ukicheza ngoma si yako lazima utaharibu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Angepata kwa nini asipate mbona wabunge kibao walushapewa nafasi hiyo Nenda hansard za bunge kaangalie
Wewe unachekesha nimalize MB kwa Bunge lipi hili la kusifu na kuabudu
 
Gwaji mbio zimuokoe tu apo others wise asubirie mpera mpera
 
Gwajima anamvua ushungi na kusema usijifanye wewe ni muumini sana wakati ni muuaji na mtekaji wa watu.
 
Hii ndiyo kauli ya kufungia mkutano. Tuwakatae magwajima. Sikiliza kituko cha mwaka huu 2025 hii clip
 

Attachments

  • GWAJIMA A.mp4
    7.1 MB
Hiyo kauli haikupaswa itoke kwa rais wa nchi yaani ni kama ametia muhuri rasimi wa KIFO Cha Gwajima.
Mungu Linda watetezi wa taifa hili dhidi ya kiongozi huyu dhalimu.
Rais huyu mjinga sana. Wenzake huwa wanajitengenezea kitu kinaitwa "plausible deniability" ili hata mtu akiuawa wanaweza kusema hawajapanga.

Plausible deniability ni ile hali ya rais kuweza kusema "Haya madudu yalifanyika kweli, lakini yalifanyika bila mimi kuyajua wala kuyabariki, yalifanywa na watu wa chini huko waliojielekeza vibaya wenyewe tu, sijaagiza mimi haya".

Lakini, sasa hivi kwenye utekaji na mauaji Tanzania, Samia hana plausible deniability, kwa sababu mauaji yakitokea, watu wakisema, yeye anawakemea wanaosema kuna mauaji na kuwaambia wauaji waongeze kupiga kazi mwendo mdundo.

Samia ni mjinga sana, anajiwekea ushahidi kwamba anabariki mauaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…