PreGE2025 Rais Samia: Tusi-gwajimanize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje. Ukicheza ngoma si yako lazima utaharibu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
kuna kizazi hiki cha umri wa 45 kwenda juu kinatakiwa kuisha,hapo ndipo Tanzania itaanza kujitambua angalau kwa mbaali.
Bora kizazi icho kuliko hichi cha sasa vijana hawatak kufanya kaz wanaamin katika uchawa
 
Madhara ya kutawaliwa na mwanamke ndio hayo mara nyingi wao hisia hua zinachukua sehemu ya akili kwenye kufanya maamuzi, kitu cha ajabu kabisa hayo matahira yaliyo jazana humo yana piga makofi kabisa kwa maneno ya hovyo namna hiyo
 
Inasikitisha sana, yaani Rais anamzodoa anaekemia UTEKAJI, UTESAJI, UBAKAJI, ULAWITI na UUAJI huku akikaa kimya bila kuwakemea vitendo vya UFISADI, UTEKAJI, UTESAJI, UBAKAJI, ULAWITI na UUAJI.
We are finished.
 
Nileteeni Gwajima,nileteeni Gwajima ....nileteeeeeeeeeeeeeniii Gwajima.

Kipengere kimepigwa pyepyeleeee
Vita rasmi imeanza , subiri wakina Polepole,na watu wote walikua wanamuunga Pombe wajitokeze.
 
gwajiboy alishajua hili kitambo, alishajua anatafutiwa kona ndio maana kajitanguliza mwenyewe; ila wawe makini wasijichafue zaidi.
 
SHS siku hizi akwepeshi. Gwajiboy amejibiwa na Hana Tena nafasi ndani ya CCM .

Aendelee na utumishi wake nje ya CCM Kwa kadri Mungu atakavyomuongoza
 

Hapo alitakiwa kusema tunahakikisha tunamaliza vitendo vya utekaji, uuaji, ubakaji na ulawiti.

Ila yeye amempaisha Gwajima nna kulikuza zaidi hiki jambo bila kuja na majibu kama alivyofanya kwa Mwangi na Agatha.
 
"Better remain silent and thought a fool......."
Bi mkubwa kaji kaanga
 
Kwanza ujue mimi sio raia wa taifa lako 🤔pili ujue wapo watanzania wameona bora kuishi kwa raha tu ila wanayo elimu na akili ya kuchukua hata kidogo ulicho nacho wewe kwa namna yoyote na wakatenda haki
ni kwa Neema na Baraka za Mungu sote tunaishi kwa amani na utulivu licha ya utofauti wa mawazo, mengine ni ziada tu 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…