PreGE2025 Rais Samia: Tusi-gwajimanize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje. Ukicheza ngoma si yako lazima utaharibu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Rais anataka taifa la watu mazuzu yasiyohoji. Yakitekwa yake kimya ufisadi ukitokea yake kimya. Hapana, Hilo haliwezi kutoka.
 
Nchi imepatikana!
 
Yaan ma CCM yalivyo ni kama misukule
Eti CCM OYEEEEEE
 
Hivi hii nchi ingekuwa na Magwajima kama 5 huvi, naamini TZ ingekuwa kama Marekani.
 
 
 
Binafsi naheshimu sana cheo cha uraisi na raisi mwenyewe ila wanaopiga makofi ndio viazi ambao nafikiria kuhusu elimu zao🤔
Akili na elimu ni vitu viwili tofauti.
Mtu anatakiwa awe na akili kwanza halafu apate elimu (kunoa hiyo akili).
Bila akili elimu haifanyi vizuri.
Changamoto kubwa kwetu ni watu wengi kushindwa kutofautisha elimu na akili.
 
Hapo Gwajima ndoo Baaaasiiiiiiiiiiiiiiiii hajibu Tena na ubunge ndo kwa heri
Gwajima kisha maliza kazi yake; mnastuka wakati kazi imekwisha timiza lengo lake?
Gwajima anahangaika na nyinyi tena kwa sababu zipi?
 
Haha, mipasho ndio kitu wanajua kujibu na kupiga makofi,
Hutamsikia akiongelea mambo ya msingi
Empty head
Hili ni tatizo kubwa sana kwake.
Ni kwamba hiyo nafasi ya urais imempwaya sana.
 
Mke wangu akinigwajimanize namtimua nyumbani.
Kwahiyo na wewe umeamua kutangaza rasmi kutafuta ambaye ni kondoo ama Chawa?Wapo wenzetu wameshafikia hayua hiyo,chamani wanaenda kuhakikisha wanaopema ni makondoo na machawa pekee,sifahamu,hiyo timu ikitangazwa kana ndiyo iliyoshinda taifa litafananaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…