Kwani gwajima yupo chadema au ccm? Na mlikua wapi kiongozi akaahidi vitu ambavyo hata kwenye ilani yenu kama chama havipo?aliahidi mambo muhimu sana kama vile kupeleka wananchi wa kawe china na marekani, akaahidi kujenga treni ya kisasa kawe, akaahidi kununua boti za uvuvi za kisasa kwaajili ya wavuvi wa kawe n.k
kwakweli alizingumza mambo mazuri mno kwaajili ya wana kawe gentleman, na muda wa majumuisho umefiki, huku giza totoro katika ahadi zote hizo.
kisasa,
hata kama ni wewe ungefanyaje kukwepa maswali ya hasira ya wananchi wa kawe dhidi yako?,🐒
Ni kweli Magwajima tusiyaonee hayaWakuu,
Akiwa anazungumza leo, Rais Samia ameagiza kwamba mchakato wa kuchuja wagombea awamu hii unapaswa kuwa na uangalifu mkubwa ili kuzuia CCM isije kuwa Gwajiminized
"Vikao vinavyoenda kuchuja wagombea wakatendeke haki. Anayefaa aambiwe anafaa asiyefaa tuseme huyu ana kasoro moja mbili tatu. Tukipitisha wale ambao wanataka na mie niwemo ndo tunapata wale wanaokwenda huko, chama kinakuwa Gwajiminized"
"Tusi Gwajiminize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje "
Yeye ndio aseme yupo chama gani kulingana na anavyocheza ngoma 🐒Kwani gwajima yupo chadema au ccm? Na mlikua wapi kiongozi akaahidi vitu ambavyo hata kwenye ilani yenu kama chama havipo?
Narudia tena, The real war has started
Hii ilikua exit strategy yake, alijua hawezi rudishwa so usishangae akaibukia upinzani kugombea Urais kumvuruga tuHapo Gwajima ndoo Baaaasiiiiiiiiiiiiiiiii hajibu Tena na ubunge ndo kwa heri
Ukisikia mwanamke hafai kupewa madaraka ndiyo hivyo,ndo maana Uisilamu umesema hawa watu wakae jikoni wawe wanawapikia wanaume,kulea familia haya mambo ya uongozi hawayawezi,Wakuu,
Akiwa anazungumza leo, Rais Samia ameagiza kwamba mchakato wa kuchuja wagombea awamu hii unapaswa kuwa na uangalifu mkubwa ili kuzuia CCM isije kuwa Gwajiminized
"Vikao vinavyoenda kuchuja wagombea wakatendeke haki. Anayefaa aambiwe anafaa asiyefaa tuseme huyu ana kasoro moja mbili tatu. Tukipitisha wale ambao wanataka na mie niwemo ndo tunapata wale wanaokwenda huko, chama kinakuwa Gwajiminized"
"Tusi Gwajiminize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje "
Kwamba ngoma ya ccm ni kutetea utekaji na mauaji?Yeye ndio aseme yupo chama gani kulingana na anavyocheza ngoma 🐒
Unafikiri hakuwa analijua hili?Hapo Gwajima ndoo Baaaasiiiiiiiiiiiiiiiii hajibu Tena na ubunge ndo kwa heri
wananchi wa kawe wataamua kumgwajimize gwajima kama wataamua kwenda china au marekani maana kufufua watu imeshindikana 🐒Kwamba ngoma ya ccm ni kutetea utekaji na mauaji?
Watanzania acheni usanii, pale hakuna Rais!Haha ye kakwepa mchujo ana jijua asinge toboaa,ila Rais wa mipasho doh
Nadhaninjambo la msingi, amesema wazi yaliyo moyoni mwake na yuko huru nafsi yake.Hehehe Gwaji boy sasa alichokuwa anakitafuta anaenda kukipata, ila uzuri ana mtaji wa kanisa
Wakuu,
Akiwa anazungumza leo, Rais Samia ameagiza kwamba mchakato wa kuchuja wagombea awamu hii unapaswa kuwa na uangalifu mkubwa ili kuzuia CCM isije kuwa Gwajiminized
"Vikao vinavyoenda kuchuja wagombea wakatendeke haki. Anayefaa aambiwe anafaa asiyefaa tuseme huyu ana kasoro moja mbili tatu. Tukipitisha wale ambao wanataka na mie niwemo ndo tunapata wale wanaokwenda huko, chama kinakuwa Gwajiminized"
"Tusi Gwajiminize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje "
Shida ni moja kwa KATIBA yetu hii RAIS NI MUNGU MTU.Hulka ya pwani ni mipasho.. Ila usichokoze visivyochokozeka..!