PreGE2025 Rais Samia: Tusi-gwajimanize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje. Ukicheza ngoma si yako lazima utaharibu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ukitaka kuongea kwa uhuru hamia CHADEMA
 
Vitendo haramu vya ccm kuwatuma Polisiccm kuonea watu ndivyo vimepelekea Siri za IGP kuwa na mabilioni Bank, ndivyo vimesababisha wakenya kuingia kwenye Account za Serikali na kudukua kila kitu na kuiacha Serikali Uchi bila nguo, ccm hawajifunzi kuwa matendo maovu yamewaletea Aibu nyingi waache mara moja, lakini ndiyo kwanza wameendeleza Mipasho wakizani watanzania ni wajinga kumbe watanzania hawajalala wanaandamana moyoni hadi mungu atende haki
 
wananchi wa kawe wataamua kumgwajimize gwajima kama wataamua kwenda china au marekani maana kufufua watu imeshindikana 🐒
Gwajima alipita kihalali au sio kihalali hapo kawe?
 
Gwajima ametusaidia kumjua nani yuko nyuma ya utekaji na mauaji ya wakosoaji wa Serikali na huyu hapa ndiyo amepigia mstari kabisa. Damu za akina Mdude, Mzee KIbao, Kipanya, Soka na wenzake kamwe haziwezi kumuacha salama huyu muuaji lazima Mungu atafanya jambo.
 
Kakosea kuongea hivyo gwajima atamshughulikia vizuri
Kwa KATIBA hii tuliyo nayo Akitoka mwenyezi Mungu anafuatia RAIS wa nchi.
Kuweza ku battle nae ni kazi maana vyombo vya ulinzi na usalama vimaweza kumuua kwa mbinu mbali mbali..

Ogopa Sana binadamu anapo saka madaraka na vyeo ama kulinda maslahi yake..una uwawa unakumbuka SAGA ya KAMBONA VS NYERERE, KINA HANGA NA BABU?

NACHO JUA GWAJIMA HAJAWAI KUSHINDWA BINAFSI MIMI NI ROLE MODEL WANGU NI CHARISMATIC LEADER NA MAMA SAMIA AMESHA WEKWA MSALABANI PALE UFUFUO NA UZIMA CATHEDRAL KUNA MAOMBI YA KUSHINDANA TUNGOJE DAKIKA 90.
 
Haswaaaaa!
 
Bibi dizaini.....anapanic akikosolewa anareact kitaarabu mipasho hovyo.....
 
Umeelewa vyema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…