figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Yaani tuwapelekee Haiti wakati ndugu zetu wakenya hapo wanakufa njaaKuna Mahindi ambayo Marekani imetoa msaada kwa Tanzania.
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe kawa na wasiwasi nayo. Amedai yamewekewa Virutubisho ambavyo havijulikanindege ya mizigoo ya ATCL tuwape msaada Wananchi wa Haiti wanaokufa Njaa.
Ghafla yamekuwa mahindi tena? Siilikuwa ubwabwa au umedandia treni ya SGR kwambelee??Kuna Mahindi ambayo Marekani imetoa msaada kwa Tanzania.
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe kawa na wasiwasi nayo. Amedai yamewekewa Virutubisho ambavyo havijulikani.
Pia Waziri kasema Tanzania tuna Mahindi mengi hayana Soko, hivyo wangetumia mahindi yetu na kuweka Virutubisho Watanzania wakiwa wanaona.
Mimi napendekeza, kuliko kuyamwaga, Tuchukue hayo Mahindi, Mafuta ya Alizeti na Maharage waloleta, tupakie kwenye ile ndege ya mizigoo ya ATCL tuwape msaada Wananchi wa Haiti wanaokufa Njaa.
Hela watoe Ili ziliweUpo sawa. Bashe amesema kama ni hela watupe ila mchele, maharage na mafuta tunayo.
Ila mzigo kama umeshatoka US upige tena U-turn kurudi Caribbean ni noma.
Bashe amesema hela wapewe wakulima wa bongo. Au unasemaje bwashee? johnthebaptistHela watoe Ili ziliwe
Wazo zuri !Kuna Mahindi ambayo Marekani imetoa msaada kwa Tanzania.
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe kawa na wasiwasi nayo. Amedai yamewekewa Virutubisho ambavyo havijulikani.
Pia Waziri kasema Tanzania tuna Mahindi mengi hayana Soko, hivyo wangetumia mahindi yetu na kuweka Virutubisho Watanzania wakiwa wanaona.
Mimi napendekeza, kuliko kuyamwaga, Tuchukue hayo Mahindi, Mafuta ya Alizeti na Maharage waloleta, tupakie kwenye ile ndege ya mizigoo ya ATCL tuwape msaada Wananchi wa Haiti wanaokufa Njaa.
Aliyeshiba hamjui mwenye njaa. !!Mbona Watanzania wenyewe Wana njaa?
Tembeeni mjionee ufukara wa kutisha Tanzania.
Kiongoz muwe waelewa bas na wakati mwingine mjithaminMbona Watanzania wenyewe Wana njaa?
Tembeeni mjionee ufukara wa kutisha Tanzania.
Aliyeshiba hajui mwenye njaa.Mbona Watanzania wenyewe Wana njaa?
Tembeeni mjionee ufukara wa kutisha Tanzania.
Waziri Bashe ndo kaharibu kabisaaaaKuna Mahindi ambayo Marekani imetoa msaada kwa Tanzania.
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe kawa na wasiwasi nayo. Amedai yamewekewa Virutubisho ambavyo havijulikani.
Pia Waziri kasema Tanzania tuna Mahindi mengi hayana Soko, hivyo wangetumia mahindi yetu na kuweka Virutubisho Watanzania wakiwa wanaona.
Mimi napendekeza, kuliko kuyamwaga, Tuchukue hayo Mahindi, Mafuta ya Alizeti na Maharage waloleta, tupakie kwenye ile ndege ya mizigoo ya ATCL tuwape msaada Wananchi wa Haiti wanaokufa Njaa.
Kuwa na njaa kijijini ni uzembe unapaswa kupigwa vita kwa Kila namnaNashangaa wabongo ghafla tunajiona matajiri sijui kwanini?
Tuna kakiburi ketu flani amazing sana. Aliyeshiba mjini anamsemea mwenye njaa kijijini.
Itakuwa njema sana ila hofu kama yatakuwa na madharaKuna Mahindi ambayo Marekani imetoa msaada kwa Tanzania.