The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 1,748
- 3,229
TBS walishasema huo mpunga ni salama, bashe alilopoka tu kwa kutumia hisia na kuzua taharuki kama mwendazake alivo kua anaropoka kwenye corona.Hivi unga wa ngano unaozalishwa nchini mfano ule wa MeTL ambao umeandikwa kabisa kuongezewa virutubisho.
Hivyo virutubisho wangapi mnavijua? Na je amevitengeneza MeTL mwenyewe au kanunua nje tu kwa haohao.
Bashe tushaijua rangi yake kwenye sukari si ajabu anasukumwa na issue ileile ya dini kupinga hili jambo.
Taasis za kupima ubora si zipo? Toka lini mmeanza kupangia watoa misaada pa kununulia misaada hiyo?
By the way. Kitu mmpewa bure, mnaanza kuleta masharti tena. Kama hamtaki kataeni huo mzigo urudi USA