Rais Samia, tusifukie Mahindi na Maharage ya Marekani, naomba tuyapeleke Haiti

TBS walishasema huo mpunga ni salama, bashe alilopoka tu kwa kutumia hisia na kuzua taharuki kama mwendazake alivo kua anaropoka kwenye corona.

By the way. Kitu mmpewa bure, mnaanza kuleta masharti tena. Kama hamtaki kataeni huo mzigo urudi USA
 
Vinapitishwa TBS kabla ya kupewa kibari.
 
Ivi ni kiambata gani kinaweza weka kwenye mahindi mtu awe shoga kwanni wasiweke kwenye chanjo na madawa au bidhaa zingine tu mbona wasiweke kwenye mitumba ya nguo na viatu.
Ivi kweli Tanzania na mamlaka zote zineshidwa kuwa na tamko rasmi kwamba baada ya kufanywa uchunguzi kwenye mchele tumekuta viambata visivyo salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…