Rais Samia: Ukitaka kufanikiwa kilimo mpe Msomali

Ndio maana Ruto ana hali mbaya sana, intelligence imefeli vibaya mno, ulinzi wa hovyo hadi bunge linachomwa Moto na vibaka. Upuuzi wa kuwaamini wasomali
Hao wasomali walikuwa upande wa Raila ila Ruto kawa Rais na kwenye majeshi vigogo wengi ni wasomall na hata majaji ni wao.

Bila wasomali nafikiri Luo na wengine wangemmaliza Ruto
Jamaa analindwa na Wasomali kwa sasa.

Alivunja baraza la mawaziri na wa kwanza kumtangaza alikuwa Waziri wa Ulinzi

Jamaa wana play big role serikalini na hawana unafiki
Moi angepinduliwa bila msomali mjeda kutoa siri na alikuwa ni mmoja wa wakubwa jeshini.

Kumtonya Moi tu akapanda na cheo na kuwa mkuu wa majeshi na wale wengine wahaini wakafungwa
 
Kwa mara ya kwanza Tanzania, katika Uwaziri wa Bashe, Tanzania tunajitosheleza chakula mapema sana katika mwaka na tuna ziyada (surplus) ya chakula kwa asilimia 20.
Na hao wanaolalamika mfumuko wa bei za vyakula wapo nchi gani?

Haikuwa Tanzania baada ya Bashe kusema hapangii wakulima sehemu ya kuuza na baadae yeye na Samia wakaja na U Turn kwamba hakumaanisha wauze tu bali mpaka wapate vibali?

By the way ule so called mchele wa msaada ulioletwa ulikuja kufanya nini iwapo tuna surplus?

Haya mambo hayahitaji siasa pakiwa na surplus utaona vitu bei zinashuka (at least stabilize)sio hizi sarakasi zinazoendelea....

 
Duhh! Kama huna kazi rasmi, kwa hiki ulichokichunguza na kukiweka hapa jamvini kama ushahidi kama utawini... Ushakula kazi ikulu. Jiandae na kozi 😂
 
Takwimu mpya.

Kwani serikali iliomba huo msaada, au omba omba wa dodoma tu?
 
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN amezungumzia utendaji kazi wa Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe na kusisitiza kuwa ukitaka kufanikiwa kwenye Kilimo mpe jukumu hilo Msomali.

huyo ni mtanzania tu, sio msomali, wasomali ni wafugaji wa ngamia na kondoo/mbuzi, bwana sukari hata kama kabila lake ni la kisomali ila ni mtanzania kuliko hata watanzania wengi sana, babake akiwa shehe wa Nzega pale, tumewafahamu kitambo.
 
ile kauli ya "naona WAKISUTANA UMBEA" IMEPATA MWENZAKE..."WEZI WAKIJIPONGEZA"..Walalue mali zetu wakidhani hatuna cha kuwafanya...one day kuna watu WATALIMIA MENO😎.Hoja za mpina bado hazijajibiwa....ila naona mwizi hupenda kufanya kazi na mwizi mwenzake kwakweli😛😛😛
 
Takwimu mpya.

Kwani serikali iliomba huo msaada, au omba omba wa dodoma tu?
Kwahio tuna surplus ambayo imeshindwa ku-satisfy mahitaji ya hata omba omba wa Dodoma?

By the way chakula ni kwa ajili ya Serikali (kama mapambo na data) au ni kwa ajili ya wananchi kitaa ambao wanalalamika bei za vyakula haziendani na purchasing power yao ?
 
Nakazia tu umuhimu wa Bashe pale Wizara ya Kilimo, amefanya mambo makubwa

Mlale Unono 😀
kenya mkuu wa intelijensia waliweka msomali ili wasomali wakibinywa wasilalamike, ionekane wanabinywa na msomali mwenzao. upande wa mandela na kule kupakana na somalia, al shabab wanawasumbua sana, na ukiweka intelijensia ya mkristo watasema tunapigana na kafiri, wao wakaweka ndugu yao.
 
Wasomali sio Wabantu, jamii yote ya Watu wasio wabantu wana vinasaba vya aidha kiarabu, kihabeshi au kizungu

Wabantu wana uhusiano wa karibu na Manyani, ndio maana hayapendani na hayatakianii

Ashakhum si matusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…