Rais Samia: Ukitaka kufanikiwa kilimo mpe Msomali

Ommba omba hata akiwa na chakula ni lazima aombe tu, ni tabia za kitumwa.

Ukiuendekeza umasikini unakukumbatia - Mama Samia.
 
20% ya Wakenya ni Wasomali.

Wasomali Kenya na Somalia ni kama Wamasai Tanzania na Kenya au Wamakonde Tanzania na Msumbiji. Niendelee?
 
Masikini choka mbaya mtapiga mbaambaa humu, halafu mtakojoa na kulala.

Mkiamka Bashe bado anapeta, wewe saa hiyo unisikilizia njaa ya asubuhi hata mia mbovu huna
 
Tanzania kuna kabila la wasomali ?
Hamna ila wapo,

Mwaka 1982 ndugu yangu alihamishiwa kikazi vijijini ndani huko mbeya utengule.

Siku akaomba kwa mzee nimtembelee nilipofika nilikuta kuna familia kubwa tu ya wasomali.

Walikua wana duka kuubwa,mashine na mgahawa au tuseme restaurant.pia mashamba.

Sasa sijui walienda lini huko.
Mi niko mdogo kabisa.

Kwasasa utakuta ile familia wamezaliana wako wengii sana km bado wapo.
 
Na hao wanaolalamika mfumuko wa bei za vyakula wapo nchi gani ?

Haikuwa Tanzania baada ya Bashe kusema hapangii wakulima sehemu ya kuuza na baadae yeye na Samia wakaja na U Turn kwamba hakumaanisha wauze tu ]
Ikiwa mmeshindwa kumuelewa Bashe kuhusu regulations za export, hamtoweza kuelewa chochote kingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…