Rais Samia: Ukitaka kufanikiwa kilimo mpe Msomali

Hapana, wae siyo Wasomali ni Wahabashi (Ethiuopia).

Wasomali waliondoka sana zamani wakati wana vita ya wenyewe kwa wenyewe .
Wewe kidosho mwongo sana, ilikuwa vita kati ya Siad Barre alyeng'ang'ania Madaraka na Hussein Haidid General;

You are just tying to spin, kila mtu anajua wewe ni Islamist, Somali au Arab.

And you are here for the interests of the Islamists
 
Hiyo ni hotuba ya mkuu wa kaya? Ingekuwa sio JF huenda nisingejua anaongea nini, misemo ya wamama wakikaa kwenye umbea wao...

Kama ni hivi mifive tena we're doomed as a society.
Mimi nafurahi tu. Tulibahatisha mtu hapa ambaye, mbali na matatizo yake madogo madogo, angalau alikuwa na nia njema ya dhati na nchi hii. Peke yake kupambana na mfumo alishindwa; na sisi hatukumlinda and we failed him. Sasa ni kama vile Mungu Anatulipa...na hakuna kitu tutafanya. Tumo gizani; na mbele ni giza zaidi.

Ila hali ikiendelea hivi nadhani itafika mahali watu watakata tamaa. Na pengine ndiyo wataweza angalau kunyanyua nyuso zao kwa aibu. Sijui!
 
Kama kikwete kasema Bashe sio raia. Wanànchi wanasema sio raia, alizaliwa nzega WAZAZI wake wakiwa sio raia. Baba yake aliomba uraia 1987,
Mama yake mpaka Sasa sio raia na hajawahi kuomba uraia.Bashe jina lake halisi Ni Bashir.
KWANINI ANAKUMBATIWA?
 
Mama awe anachunga ulimi wake. Kusema kilimo mpe Msomali inaleta maswali mengi ambayo hayakuwa na sababu za msingi.
Hakuna maswali,shida mmepigwa katafunua matumaini yenu ya bashe kutimuliwa barazani,maana Kuna nyuzi alfu humu za kumponda bashe,angesema kilimo mpe mnyamwezi m genung'unika!?..au fedha mpe mnyiramba,mngedai anaweka mipaka ya kikabila?..anayajua yenu yote dhidi ya bashe, ndiyo maana akaweka 'usomali'
 
Acha upunguani wewe,huyo Mungu wako wa chato alikua na kitu gani Cha maana!?..chakula msimu kimezidi mahitaji,nenda tabora mchele unauzwa 800 kilo,peleka dar kauze 1500 usogee kimaisha badala ya kuendeleza umbea wa kishangazi na midevu yako
Mkuu. Huwa sina tabia ya kuja huku jukwaa la siasa mara kwa mara ila huwa nikitamani kuporomoshewa matusi hata bila sababu ya msingi huwa nakuja huku kutesti zali. Kama naona nimeingia kwenye 18 zako maana umeniwakia kweli kweli. Sijui kama ungetoa hoja yako bila kupaniki hivi ungepungukiwa na nini 😳

Na ajabu sasa, ukali wenu huu unaishia tu kwenye keyboard wakati nchi inatafunwa. Mngekuwa wakali hivi hata kwenye matendo mbona hata tungekuwa tumeshapata mabadiliko zamani tu? Nchi hii ina vijana wa ajabu sana aisee!
 
Kwahiyo hicho chakula kalima Bashe??
Mipango na usimamizi mwema, kabla ya ujio wa Bashe, hekta moja ilikuwa inakutolea tani moja na nusu ya mpunga, baada ya Bashe kuanza kuweka mipango sawa mwaka huu tumeanza kupa tani 4 kwa hekta hiyohiyo, na bado haitoshi, anataka kuna siku ifike 10.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…