Rais Samia: Ukitaka kufanikiwa kilimo mpe Msomali

Rais Samia: Ukitaka kufanikiwa kilimo mpe Msomali

Ndio wanaongozwa kwa kupakiwa kwenye maroli kutoroka nchi yao kwenda S.A. ....umeelewa hapo wewe ajuza muuza uchi ?
Hapana, wae siyo Wasomali ni Wahabashi (Ethiuopia).

Wasomali waliondoka sana zamani wakati wana vita ya wenyewe kwa wenyewe iliyochochewa na Wamarekani, na vibaraka wao wa Afrika kama Kenya wakajifanya ni vita yao kwa kununuliwa na Wamarekani.

Sasa machafuko yamekwisha Somalia, wanaenda spidi ya ajabu.

Kila kwenye dalili za mafanikio Afrika, marekani na mashoga wengine wa magharibi, lazima waingize fitna.
 
Rejea comments no. 4 na no.8 za huu uzi .

Lakini pia ukiitazama sura ya Bashe ni tofauti na sura za kisukuma , ana fanana sana na sura za wasomalia .

Imani ya kisomali ni kuwa mzalendo kwa nchi ya somalia .
Raia wa Tanzania maana yake nini na unathibitishaje huyu ni raia wa Tanzania na huyu si raia wa Tanzania?

Unathibitishaje Bashe si raia wa Tanzania?

Imani ya Kisomali maana yake ni nini na unathibitishaje Bashe ana imani ya Kisomali?
 
Mfumo huu wa kishenzi ,watu wanaopata vyeo kisa wana connection na kujulikana na si content ,ni mfumo wa kipumbavu .
Huu ukada ndio uliosababisha hii nchi kuongozwa na wapumbavu miaka yote hii

Nchi imedumaa mpaka akili za watu imedumaa kutokana na mifumo ya kipumbavu inayoendelea kukumbatiwa na wapumbavu wanaoongoza hii nchi miaka yote hii

Kuna kipindi huwa natamani lipigwe atomic bomb litokomeze hii dynasty ya wapumbav nchi hii
Huyo rais anasema ovyo tu.

Rais anatakiwa kusema maneno ya kujenga umoja wa kitaifa, si kuchochea ukabila. Rais anatakiwa kusifia uwezo wa mtu, si kusifia mtu kwa kabila.
 
Back
Top Bottom