Rais Samia: Ulaya na Marekani hawafanyi vizuri kiuchumi kama sisi

Kwa miaka 15 iliyopita kama huo mwaka mmoja imekua hivyo bado haina maana kutumia neno kwa sasa
Boss kasikilize hotuba yake, maana naona tushatoka sana kwenye mada na tunaongelea vitu ambavyo hata haja maanisha, mi nimetoa tu mfano ye hata hajasema hio Usa.
 
Mikopo kila mtu anajua inafanya nini, kama unasuport ama hu support hio miradi ni jambo jengine ila mikopo mingi imeenda Sgr na Bwawa la umeme hii hadi ikikamilika yote ni Takriban Trilioni 50, na miradi mingine midogo midogo inayo endelea kama mwendokasi, ujenzi wa barabara, Bandari etc.

Ukitoa miundombinu Mikopo mingine ni private sector, deni la taifa linajumlisha vyote Serikali na private.

Pia serikali inakopa kulipa madeni, assume taasisi X inakudai Trilioni 5 unatakiwa ulipe kabla ya 2025 haijaisha, basi unakopa Trilioni 5 taasisi Y na kumlipa X
 
wakenya na duniani huko wanatucheka, unajua wanauliza kama kweli tuna rais au kichekesho. huo uchumi unaofanya vyema umekopa dola trilion zimezidi 100.
 
Kuna mambo ukiyasikia unajifungia unalia peke yako unawakumbuka wazee unawauliza kwani sisi tulikosea wapi mpaka tumefika hapa kweliiii Taifa la watu zaid ya 65m kweli MUNGU UTAKAA KIMYA KWELI KWELI SAWA TUKIAIBIKA NA WEWE UTAIBIKA NA NAJUWA HUTAKI TUAIBIKE
 
Ukiwa na uwezo kuona mambo kabla hayaja tokea unaweza kujuwa nini kitafuwata na nani atamalizia. Nawakumbusha hili ni Taifa la Mungu.
 
CcJK 5 tena jamani niacheni
 
NYERERE ALITUPA MWINYI THEN MKAPA... MKAPA AKATUPA JK NA MWISHO JPM ILA JK AMETUPA KIZIMKAZI MTANIELEWA BAADAE
 
Waziri wa fedha msaidie rais Kwa kututajia hata mtaa mmoja Los Angeles tunaouzidi kiuchumi
Karibu mwigulu Nchemba Madelu PhD
 
Kama mpaka Sasa unamlaumu Nyerere Kwa katiba mpya unakosea sana huyu mzee ni miaka zaidi ya 30 bado Nyerere kwako ni kikwazo
 
Asante sana Mama
Wewe ni noma🙌🏿
Kazi yako kubwa Tanzania tunafanya vizuri kiuchumi kuliko Mareka ni i💔
 
Hata kudanganywa kuna kiwango,
Naanza kuamini uchawi upo, amerogwa sio bure!!
Hivi tuko serious kweli? Tunajilinganisha na US na nchi za EU? Watu wanakunywa maji na punda, watoto wanakaa chini, tunachimbiwa matundu ya vyoo kwa hisani ya watu wa Marekani! Aiseeee maajabu ya Dunia haya!
 

Uchumi wa Tanzania unakua kwa kasi kuliko wa Marekani au Ulaya — ukizingatia kasi ya ukuaji (growth rate), si ukubwa wa uchumi.

Ufafanuzi:

  • Tanzania inaweza kuwa na ukuaji wa Pato la Taifa (GDP growth rate) wa takribani 5%–6% kwa mwaka.
  • Marekani na nchi za Ulaya hukua kwa kasi ndogo, kama 1%–2% kwa mwaka.

➡️ Hii inamaanisha Tanzania inajenga uchumi wake kwa kasi kubwa, lakini bado uchumi wake ni mdogo kwa ukubwa (GDP size) ukilinganishwa na wao.

Mfano:
  • GDP ya Marekani ni zaidi ya 27 trilioni,
  • Wakati Tanzania ni chini ya 100 bilioni.

Kwa hiyo, ni sahihi kusema:
“Uchumi wa Tanzania unakua kwa kasi kuliko wa Marekani au Ulaya, ingawa bado ni mdogo kwa ukubwa.”

Ungependa niandike kauli fupi ya kitaalamu kuhusu hilo kwa matumizi ya ripoti au uwasilishaji?
 
Hamna mtu humu
 
Hamna mtu humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…