Rais Samia uliomba ripoti ya "haraka" kuhusu utekaji nchini! Haraka ni muda gani?

Kuna usemi wanasema "kesi ya ngedere unampelekea nyani""
Naomba niishie hapo
 
Acha bangi
 
MAmbo ya serikali ndivyo yalivyo
 
Ukimya kuhusu watekaji na wauaji ni sifa kwa Viongozi wetu? Yaani wanaona kabisa hilo nalo litapita? Mungu hazihakiwi maana anaona ambayo binadamu hawezi kuona.
 

View: https://youtu.be/15W2ZC1D2Bo?si=SBMAe9muK5CW736e
Na hiyo wafanye uchunguzi. Mama hakuna chochote anapelekewa na ndiyo supporter mkuu wa utesaji huu
 
Watajulikana tu wliomteka, au kama alijiteka mwenyewe, pia itajulikana.

Wanajulikana tayari! Wanasema waliowateka ni Polisi naona mnajisahaulisha kila siku. Kuna kijana alitekwa na kupigwa risasi na kamtaja mtekaji hakuna hata uchunguzi. Tatizo hapa ni kwamba waliotekwa ni Chadema ndiyo maana mnafumbia macho hakuna uchunguzi wowote na Mama ndiyo anafurahia haya

Na waliotekwa sio wawili kuna wengi mpaka leo hawajapatikana
 
Watajulikana tu wliomteka, au kama alijiteka mwenyewe, pia itajulikana.
Hebu eleza mtu anawezaje kujiteka?

Tupe mfano wewe unawezaje kujifanyia "self abduction".

Maana naona mnachukulia haya masuala kimzaha tu sababu familia za viongozi zinalindwa na wanausalama kwa pesa za umma na wao hawaoni matishio ya usalama wao na hasa ukizingatia mafungamano ya CCM na vyombo vya ulinzi na usalama.
 
Nawewe uliuamini ule unafiki.pole sana
 


Mama kaambiwa watekaji ni Polisi sasa pagumu
 
Alietekwa anamtaja fulani ndie kaniteka lakini cha ajabu hata uchunguzi tu wa kinafiki haufanyiki, hata mahojiano ya kinafiki na alietajwa hayafanyiki.... Wananchi mnapewa majibu rahisi kwamba alietekwa alitekwa na washkaji zake

Juzi hapa mtu kanusurika kutekwa, waliojaribu kumteka aliwatambua ni askari polisi, wananchi nao kwa kuona video wakawatambua watekaji ni askari polisi lakini cha ajabu hadi leo hakuna chochote kimeendelea
 
Kwa nia njema, isipokuwa hiyo haraka imekosa baraka. Jambo letu lilikamilishwa kwa "tuzoee kifo.
 
Mlimsikia kwenye msiba wa Mafuru kwamba alijivua urais Zanzibar.
Hajui kutumia ulimi wake vyema.

Usitegemee kitu hapo
 
Tanzânia tume huundwa nyuma ya mikamera majibu ya tume nyuma ya pazia, endelea kusubiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…