Rais Samia umeingizwa mjini, hukupaswa kumwondoa Paul Makonda kwenye Uenezi

No mkuu,ndio maana nchi zinazojielewa zinakua na mahakama na zilizo huru,makonda sio mahakama mkuu!!ni court of law pekee yenye uamuzi wa kuhukumu
 
Huo ndio ukweli. Makala hashtui. Amepoaaa Aliye mteua naye kamopaa. Sema ametafuta wakufanana naye
Nilichojifunza ni kwamba, Mama anatafuta wa kufanana naye zaidi. Anapenda wapole wapole zaidi siyo wale wakali.
Hapo utajifunza hata kwa Mawaziri anaowateua, hata Makamu wake. Ni wapole wasioweza kukemea na wakaogopwa.
 
Watu makini sahizi wamekaa kimya wanajua 2025 mama atawapa urithi wao, sasa wajomba wasije wakasema nyie mlikuwa hivi hamstahili urithi.

Tupo hapa.
 
Eti SSL anasema amefanya kazi nzuri sana
Halafu anamtengua,,, seriously


YAANI Mama anakung'ata na kukupuliza
 
Yule makala akienda hata kkoo aitishe mkutano wa chama sijui nani ataenda kumsikiliza makonda akiibuka kkoo watu wakajua mwamba yupo pande furani anaweza kuondoka na kijiji.Leo wanajiita watoto wa mjini sijui kuzaliwa dar ndo kuna faida gani.
 
Nakubaliana na wewe
 
No mkuu,ndio maana nchi zinazojielewa zinakua na mahakama na zilizo huru,makonda sio mahakama mkuu!!ni court of law pekee yenye uamuzi wa kuhukumu
Sawa, lakini sometimes ni bora zaidi mambo yote Yakamalizika papo kwa papo kuliko kusubiri mahakama.
Kwa mfano, unakuta Kiongozi fulani kafanya ujinga wa hali ya juu, kwa hiyo badala ya kukimbilia mahakamani ni bora zaidi kumtandika Makonde papo hapo.
Au, unakuta mwizi yupo kubomoa nyumba yako, utakwenda kwanza mahakamani kumshtaki au utaanza kupambana naye kwanza.
 
Makonda anakubalikana wajinga tu,wenye akili tunamuona mbwiga tu,hata JPM alishamstukia ni mbwiga
 
Jamaa ana show-off za kijinga sana
Anataka aonekane hata akikaa
Huo sio uongozi
Hata vitani angekuwa mateka haraka sana huyo
Kama angeacha acting na show-off basi angeweza kazi yoyote
Badilika dogo and grow up
 
Unda chama chako umpe uenezi huyo Makonda. Atakufaa
 
Kwa hiyo unataka kutuambia kwamba alikuwa sahihi kumshambulia pale Dodoma?.
 
Natamani Sabaya ashike hiyo nafasi,PATACHIMBIKA nchi nzima.CCM itafufuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…