Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huenda alikuwa anamaanisha kifo cha Magu alikuwa anakiombea au kukisubiria kwa hamu kubwa!Kuwa rais kwa kudra za mungu anamaanisha nini?
Exactlyhuyu anajua kilichokuwa kinaendelea juu ya magufuri kufariki
Mtu aliyelewa madaraka katika style hii atakuwa na focus gani zaidi kutumbua raha na kulinda cheo chake...?Anatakiwa kufocus Sana na kukuza uchumia na sio kuweka nia ya kugombea.
Mama nyoosha hawa mapimbi ambao hawajutambui ...Kama anataka tupambane tutapambana nae tu, atambue kuwa mabeyo ni mwanaume...
Kudra ni mambo anayofanya Muumba ambayo binaadamu hana uwezo wa kuyazuia! Hajakosea! Kifo cha magufuli ni kudra na yeye kuwa rais ni kudra!Hamjui kiswahili au mnapotosha kuchochea fitna!Ni kauli si nzuri kabisa, yaani kifo cha bosi ni baraka kwake?
Hamna kei iliyoishinda mwanaume...Mama nyoosha hawa mapimbi ambao hawajutambui ...
Anza na hili pimbi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mama endeleaa kutembeza Moto ,mapimbi Kama hawa wapo wengi kwenye ofci yako[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Hamna kei iliyoishinda mwanaume...