Rais Samia umekosea tena; haupo kwa ajili ya kuongoza wanawake, bali kuongoza Watanzania wa jinsia zote

Rais Samia umekosea tena; haupo kwa ajili ya kuongoza wanawake, bali kuongoza Watanzania wa jinsia zote

Anawaambia watu wafanye kazi wasiwaze urais 2025 huku yeye anauwaza na kujitangaza kabisa!

Hivi CCM wanaruhusu kujipigia chapuo sasahivi hatamwaka haujaisha toka uchaguzi ulopita!! Kweli madaraka matamu chiiii!!

Nimesikitika kusikia sisi wanaume ni majirani khaaaa!! Sijajua kwani ni majirani zao upande gani??
 
Kuna watu humu ndani wanatamani wangekuwa wanahusishwa kwenye uandishi wa hotuba ya Rais
 
Shida pia wiki chache zilizopita alisema sasa hivi ni mapema sana kuzungumzia uraisi wa 2025.

Pia hakuwa na sababu ya kufikiria Sana uraisi kwa Sasa ikiwa ana mengi ya kufanya kwa kuwa alisema anataka kusimamisha uchumi.
Anapaswa kujiamini, afanye kazi watu watamchagua tu
Atakuwa ameanza kushiba kalimati za ikulu.😝😝😝😝
 
Mama Samia Leo nimeona umekosea tena Jambo ambalo umekuwa ukilikosea toka mwanzo.

Ma Samia wewe ni Rais wa JMT, hivyo jinsia, ukabila, dini au rangi uliyo nayo haina uhusiano na urais wako...
Wanawake ni 51 + ya watanzania wote- sasa tumia akili yako
 
Masalia yamevurugwa ile mbaya wanatamani tukio lilotokea kwa kudra za mwenyezi Mungu mwezi machi lirudiwe.
 
Kwanza naomba tujue maana ya jinsi na jinsia, neno jinsia limekuwa likitumika ndivyo sivyo.
 
Mama Samia Leo nimeona umekosea tena Jambo ambalo umekuwa ukilikosea toka mwanzo.

Ma Samia wewe ni Rais wa JMT, hivyo jinsia, ukabila, dini au rangi uliyo nayo haina uhusiano na urais wako...
Lazima atageti kundi muhimu kwake,kwani mwendazake alipokuwa anakomaa na machinga alikuwa kwamba ndio wapiga kura wake kwani hakukuwa na makundi mengine ya wananchi?
 
Back
Top Bottom