Rais Samia umekosea tena; haupo kwa ajili ya kuongoza wanawake, bali kuongoza Watanzania wa jinsia zote

Rais Samia umekosea tena; haupo kwa ajili ya kuongoza wanawake, bali kuongoza Watanzania wa jinsia zote

Muache kumuonea chifu Hangaya tuwe wakweli lini ccm elisha leta presidential material.....any body can be a president of Tz as long as Ccm imemteuwa, hata wewe unaweza tu.
Comment of the day
 
... kudra = nasibu. Waswahili wanakuambia jitihada hazishindi kudra! Kudra ni jambo ambalo hutokea kwa nasibu (bahati) tu pasi na mhusika/wahusika kuweka jitihada zozote! Kwa mfano, ni kwa kudra tu Tanzania iliepushwa na kimbunga Jobo; hakuna lolote tulilofanya kikapita mbali ila ni kwa nasibu tu!
Shikamoo mkuu
 
Mwanaume ukiweka tiki huko basi ujijue ni miongoni mwa hao wanawake wanaoambiwa hapo [emoji2]
 
Magu watu walikua wanamfuatilia kwa vituko na uchizi wake, maamuzi yake ya likua hayana protocol au formular, watu wali hofu sana anaweza akafanya uamuzi wa kuathiri maisha yao bila taarifa ndiyo mana wengi wali kua wana msikiliiza........huyu chifu hangayi angalau she is one eyed, but better than blind man .
sikumkubali Magu ila he was far better kuliko huyu, Jiwe alikuwa akiongea unaona kweli Rais kaongea.sasa huyu wa sasa ni kama hana mamlaka eti na yeye analia lia tu kama wanyonge, jiwe made a clear distinction kati ya mtu mwenye mamlaka na mnyonge yani akiongea unaona mwenye mamlaka kaongea
 
Mama Samia Leo nimeona umekosea tena Jambo ambalo umekuwa ukilikosea toka mwanzo.

Ma Samia wewe ni Rais wa JMT, hivyo jinsia, ukabila, dini au rangi uliyo nayo haina uhusiano na urais wako...
Umeongea point! Binafsi huwa nabishana sana na hili jambo la kuweka jinsia kama ngao! Tuonyeshe uwezo wetu na siyo excuse zisizokua na maana
 
sikumkubali Magu ila he was far better kuliko huyu, Jiwe alikuwa akiongea unaona kweli Rais kaongea.sasa huyu wa sasa ni kama hana mamlaka eti na yeye analia lia tu kama wanyonge, jiwe made a clear distinction kati ya mtu mwenye mamlaka na mnyonge yani akiongea unaona mwenye mamlaka kaongea
Jiwe aliua uchumi wa nchi hi ila wachache ndowanaweza kuliona hilo, private sector itachukua miaka zaidi 20 kurudi pale aliko ikuta, kilimo bei paka leo hazijapand, international trade itachukua mda kurudi tena, deni la taifa liliongezaka mara dufu, kila mtazania ataumia kulilipa nk.....bora huyu mam anatia matmaini akiondawa chawa kama Mwigulu, Kabudi ndalichako nk.
 
Urais wa ngekewa unamatatizo sana,bila jiwe haya yote yasingekuwa yanatupa,wizara nyeti kabisa zimeanza kuongozwa na wanawake huko ni kujitafutia laana kwa Mungu,kwa kuwa ni kosa mwanamke kuwa kichwa kwa mwanaume.
 
Hatutaki maneno, tunataka vitendo zaidi.
Sina imani kama tunajua vizuri vipaumbele katika Nchi na kwa wakati wa sasa.
Nionavyo mimi, kwa sasa hakutakiwa hata kidogo kuleta agenda za Urais wa mwaka 2025. Yeye alitakiwa kuwa ni mtu anayekemea wanaccm wanaoanza kuonesha dalili za kuwania uongozi 2025.

Lakini pia, kwa kiongozi mkubwa kuipa kipaumbele jinsia moja tu kila siku kana kwamba hakuna jinsia nyingine ni hatari sana.

NB:- Kiongozi mkubwa kuanza kupiga kampeni miaka 4 kabla haileti afya hata kidogo. Ni dalili za kukosa kujiamini.

Watu hawana shida na jinsia. Wewe fanya mambo mazuri zaidi kuliko watangulizi wako, watu watakuwa wana imani na wewe.
Hali sasa ni mbaya kiuchumi, tushughulikie kwanza hayo.
 
Jiwe aliua uchumi wa nchi hi ila wachache ndowanaweza kuliona hilo, private sector itachukua miaka zaidi 20 kurudi pale aliko ikuta, kilimo bei paka leo hazijapand, international trade itachukua mda kurudi tena, deni la taifa liliongezaka mara dufu, kila mtazania ataumia kulilipa nk.....bora huyu mam anatia matmaini akiondawa chawa kama Mwigulu, Kabudi ndalichako nk.
sikupingi kabisa mkuu,uliyoyasema ni kweli, lakini kuna kitu umekwepa kuzungumzia, je unaona kauli anazozitoa huyu bibi ni sahihi ? hotuba zake huwa unaona zina mashiko ?
mwisho,licha ya kasoro hizo ulizozitaja za jiwe lakini wakati wake miundo mbinu iliimarika,leo soko la Mwanza pale ujenzi umesimama,na miradi mingine inaelekea kusimama
ile bandari ya Bagamoyo jiwe alipinga mkataba lakini hakupinga ujenzi wa bandari pale lakini leo serikali ya bibi inataka kuendelea na ule mkataba!!!
 
Mimi mwenyewe nitampigia kura asubuhi na mapema sana
 
Katika kitu NAKWANZIKA KWA MOYONI KABISA.

NI RAIS KUJINASIBU KWA UANAMKE WAKE.
Amenivunja moyo mno.
Ninachukia hasa.
Ninajskia kudhalilika mno.
Ninaumia kwa ndani kabisa.

Kwanini HAELEWI KUWA HAKUWA RAIS KWA KUWA NI MWANAMKE?

KWANINI HAELEWI KUWA HATAKUWA RAIS KWA KUWA TU NI MWANAMKE?

Mimi ni aina ya mwanamke ambaye MAHALI POPPTE JINSI YANGU IKINIBEBA AU KUNISHUSHA NI UGOMVI.

Sijui kwann watu huona kuwa mwanamke ni SIFA CHANYA AU HASI.

Kabla ya UANAMKE mimi ni MTU.
Equal person by all what it takes being equal.
Tunafundisha ninja mabinti kuwaambia kuwa MWANAMKE NI KIGEZO CHA KUWA KIONGOZI?
Hauwi tu Kiongozi kwa kuwa ni mwanamke.
Nini kingine unaleta mezani more than just being a woman?
Tunapozungumzia Ukombozi wa Mwanamke na Fursa za Uongozi,hatumaanishi tunahitaji wanawake tu mradi mi wanawake wawe viongozi. C'aaamon!
 
Jiwe aliua uchumi wa nchi hi ila wachache ndowanaweza kuliona hilo, private sector itachukua miaka zaidi 20 kurudi pale aliko ikuta, kilimo bei paka leo hazijapand, international trade itachukua mda kurudi tena, deni la taifa liliongezaka mara dufu, kila mtazania ataumia kulilipa nk.....bora huyu mam anatia matmaini akiondawa chawa kama Mwigulu, Kabudi ndalichako nk.
Huyu miezi 6 tu,kaisha kopa turion 4 na azionekani kilichofanyika,akuna Mradi mpya tozo kibao, garama za Maisha juu,bora Mala mia Magufuri,atukuwa na tozo za kipumbavu,garama za Maisha zilikuwa nafuu kwa wanyonge,miaka 5 atukusikia mafuta kupanda nabado miradi mikubwa ilianzishwa pasipo kusumbua wananchi
 
Back
Top Bottom