mozilla
JF-Expert Member
- Mar 28, 2013
- 770
- 1,222
Comment of the dayMuache kumuonea chifu Hangaya tuwe wakweli lini ccm elisha leta presidential material.....any body can be a president of Tz as long as Ccm imemteuwa, hata wewe unaweza tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Comment of the dayMuache kumuonea chifu Hangaya tuwe wakweli lini ccm elisha leta presidential material.....any body can be a president of Tz as long as Ccm imemteuwa, hata wewe unaweza tu.
Shikamoo mkuu... kudra = nasibu. Waswahili wanakuambia jitihada hazishindi kudra! Kudra ni jambo ambalo hutokea kwa nasibu (bahati) tu pasi na mhusika/wahusika kuweka jitihada zozote! Kwa mfano, ni kwa kudra tu Tanzania iliepushwa na kimbunga Jobo; hakuna lolote tulilofanya kikapita mbali ila ni kwa nasibu tu!
sikumkubali Magu ila he was far better kuliko huyu, Jiwe alikuwa akiongea unaona kweli Rais kaongea.sasa huyu wa sasa ni kama hana mamlaka eti na yeye analia lia tu kama wanyonge, jiwe made a clear distinction kati ya mtu mwenye mamlaka na mnyonge yani akiongea unaona mwenye mamlaka kaongeaMagu watu walikua wanamfuatilia kwa vituko na uchizi wake, maamuzi yake ya likua hayana protocol au formular, watu wali hofu sana anaweza akafanya uamuzi wa kuathiri maisha yao bila taarifa ndiyo mana wengi wali kua wana msikiliiza........huyu chifu hangayi angalau she is one eyed, but better than blind man .
Wapi ? TujuzaneLeo nadhani Polepole ana furaha Sana kuona mwanamama anavyojishuku na kutojiamini
Umeongea point! Binafsi huwa nabishana sana na hili jambo la kuweka jinsia kama ngao! Tuonyeshe uwezo wetu na siyo excuse zisizokua na maanaMama Samia Leo nimeona umekosea tena Jambo ambalo umekuwa ukilikosea toka mwanzo.
Ma Samia wewe ni Rais wa JMT, hivyo jinsia, ukabila, dini au rangi uliyo nayo haina uhusiano na urais wako...
Haaahaaa jamanHangaya leo ameonyesha dharau kubwa sana kwa wanaume wa nchi hii. Ingekuwa Guinea asingethubutu kusema aliyoyasema leo.
View attachment 1938792
Dhana ni mbayaHalina pingamizi kbs....
Nahisi kwa asilimia 99.5 kahusika.
Ova..../
Jiwe aliua uchumi wa nchi hi ila wachache ndowanaweza kuliona hilo, private sector itachukua miaka zaidi 20 kurudi pale aliko ikuta, kilimo bei paka leo hazijapand, international trade itachukua mda kurudi tena, deni la taifa liliongezaka mara dufu, kila mtazania ataumia kulilipa nk.....bora huyu mam anatia matmaini akiondawa chawa kama Mwigulu, Kabudi ndalichako nk.sikumkubali Magu ila he was far better kuliko huyu, Jiwe alikuwa akiongea unaona kweli Rais kaongea.sasa huyu wa sasa ni kama hana mamlaka eti na yeye analia lia tu kama wanyonge, jiwe made a clear distinction kati ya mtu mwenye mamlaka na mnyonge yani akiongea unaona mwenye mamlaka kaongea
2025 mbona mbali sana, maisha ni mzunguko
Kama Taifa tumepigwa.
Nchi imekua ya kike mnoo.
sikupingi kabisa mkuu,uliyoyasema ni kweli, lakini kuna kitu umekwepa kuzungumzia, je unaona kauli anazozitoa huyu bibi ni sahihi ? hotuba zake huwa unaona zina mashiko ?Jiwe aliua uchumi wa nchi hi ila wachache ndowanaweza kuliona hilo, private sector itachukua miaka zaidi 20 kurudi pale aliko ikuta, kilimo bei paka leo hazijapand, international trade itachukua mda kurudi tena, deni la taifa liliongezaka mara dufu, kila mtazania ataumia kulilipa nk.....bora huyu mam anatia matmaini akiondawa chawa kama Mwigulu, Kabudi ndalichako nk.
100% hajiaminRais Samia Hajiamini kabisa yaani hadi aibu,
Huyu miezi 6 tu,kaisha kopa turion 4 na azionekani kilichofanyika,akuna Mradi mpya tozo kibao, garama za Maisha juu,bora Mala mia Magufuri,atukuwa na tozo za kipumbavu,garama za Maisha zilikuwa nafuu kwa wanyonge,miaka 5 atukusikia mafuta kupanda nabado miradi mikubwa ilianzishwa pasipo kusumbua wananchiJiwe aliua uchumi wa nchi hi ila wachache ndowanaweza kuliona hilo, private sector itachukua miaka zaidi 20 kurudi pale aliko ikuta, kilimo bei paka leo hazijapand, international trade itachukua mda kurudi tena, deni la taifa liliongezaka mara dufu, kila mtazania ataumia kulilipa nk.....bora huyu mam anatia matmaini akiondawa chawa kama Mwigulu, Kabudi ndalichako nk.
Huyu ni dikteta pia na anatumia ofisi ya umma kufanya harakati zake za kijinsia.Nyie watu hamna shukran, Magufuli tulikuwa tunamuita dikteta hafai,huyu mama nae Tena leo hafai,Sasa sijui mnataka Aje malaika atuongoze aisee