Rais Samia unajiandalia majuto ambayo hutayasahahau kwenye maisha yako ya kisiasa

Correct! Mama anaamini anajenga ustaarabu lakin wapinzani hawana ustaarabu always.
 
Mbowe hanaga matusi kabisa, Ni mkristo yule tusimsingizie!
 
Mama anatakiwa ashauriwe, vinginevyo atatengeneza fujo kama ile ya zamani kabla ya utawala wa JPM
 
Kuachiwa kwa Mbowe, kukutana na Lisu ubeligiji, kujipanga kuruhusu mikutano ya kisiasa nk yote unatafuta kuonekana unajali ila ujue wapinzani hawaonagi jema.
Petrol kwenye moto hii

Yule wa kijali aliye mpiga mwenye kombati na jiwe Dodoma alifanya jema?
Yule wa kijani aliyemuua mwenye kombati kule kanda ya ziwa alifanya jema?
 
Petrol kwenye moto hii

Yule wa kijali aliye mpiga mwenye kombati na jiwe Dodoma alifanya jema?
Yule wa kijani aliyemuua mwenye kombati kule kanda ya ziwa alifanya jema?
Ongea fact sio udhanifu
 
Mojawapo ya vichwa adimu humu jf.
 
Dah... Hii nchi kuna vijana wa hovyo sana! Hivi ni kweli Anayofanya huyu mama anakosea..?
Mkuu kuna watu wanaona wao na familia zao ndiyo wenye right ya kuishi na nchi ni yao, anachokifanya Samia ni threat kwa survival yao however good it will be. Kuna mtu alisema siasa siyo uadui hawakumuelewa
 
Tunachotakiwa kuhubiri ni siasa za kiistaarabu
 
Huna akili wana chama wa ccm sio Tanzania? Wengi wenu hamjitambui mnatumiwa kwa manufaa ya watawala huku familia zenu zinateseka!
 
Umeongea ukweli..
Huyu mama anajichimbia kaburi..
Mwalimu ni muda..siku zinahesabika.
Ili Rais Samia aonekane Ni mwema saaana kwa kina Mbowe inabidi awaachie hicho kiti Cha Urais wake.

Bila hivyo kelele haziwezi kuisha, kila siku litakuja jipya.
 
Naunga mkono hoja, Upinzania wa Tanzania ni wakipumbavu sana... Ni bora tuupotezee tufanye mambo mengine..

Viongozi wengi wa upinzani ni bure na hata ufanye nini huwezi kuwaridhisha zaidi zaidi mwisho wa siku watakuzodoa na kukudhalilisha tu..hawa sio wakuchekea kabisa... Siasa zenyewe wanazoziita za upinzani zimejaa wapumbavu ambao wanaamini Serikali au nchi ina chakuwafanyia au kuwalipa baadala ya wao ndio tuone faida yao kwa Taifa..

Kuna jamaa amemtaja eti JK hapo juu, anasahau JK alichezanao fair sana lakini wakaishia kumdhalilisha na kumuita majina meengi ya kijinga na madai yasiyo na kichwa wala miguu..

Hawa wazee wa deko mama asipokuwa makini watamdekea kweli na madai lukuki yasiyo na maana..
 
Tanzania hakuna wanasiasa wa upinzani bali kuna kikundi cha wasaka maslahi kwa mgongo wa upinzani....kama wengi tuonavyo CCM haina watu sahihi kwenye mifumo ndio hivyo hivyo pia tunaona upinzani hakuna watu sahihi wakuendesha siasa za upinzania....kifupi siasa za upinzani zinahitaji reform..
 
Nyerere alisema kuna watu walimwambia akiachia madaraka nchi haitaendelea, baadaye akagundua kuwa walitaka aendelee kuongoza kwakuwa hawakuwa na uhakika wa kuwepo kwenye nafasi zao iwapo angekuja mtu mwingine kuongoza nchi
 
Watu waelewe mama ni mcha Mungu hapendi kuendeleza siasa za chuki ambazo kwa namna moja au nyingine zilidhoofisha sana umoja wa kitaifa ilifika mahali watu walianza kufurahia nchi yetu inapopata majanga na hali hiyo haileti afya kwa taifa letu maconservatives wamuache mama afanye mambo yenye tija kwa nchi yetu nadhani kinachowatia mchecheto ni kuhofia vyeo ambavyo walikuwa wanavipata through weak competition .2025 wajiandae kupambana kweli kweli
 
Pande zote mbili zina mazuri na mapungufu, bila kuliona hilo mtatumia muda mwingi na gharama kubwa kuumizana badala ya kujenga nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…