voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,545
- 11,935
Nadhani tayari amekwishaziona rangi zao vizuri mkuu kilambalambila.Mhe. Rais wewe ni mzoefu kwenye siasa za Tanzania. Kwa sasa ni kama unatafuta huruma ya wapinzani na unafanya vya kuwafurahisha lakin jua hii kitu itakugharimu
Kuachiwa kwa Mbowe, kukutana na Lisu ubeligiji, kujipanga kuruhusu mikutano ya kisiasa nk yote unatafuta kuonekana unajali ila ujue wapinzani hawaonagi jema.
Lisu sasa anademand utoe kauli ya kumkaribisha nyumbani na kwamba atakuwa salama, ni kama anakuamuru vile
Mbowe iko siku atasimama jukwaani na kukutukana live
Stay tuned hutaamini kama ni wao. Ule msemo wa shukrani ya punda unatimizwa vizuri na hao jamaa
Sasa hivi wanamlazimisha kuongea nao bila vyama vingine kule TCD.
Kikwete alijitahidi hadi kunywa nao chai Ikulu lakini bado walimn'gata.
Hao jamaa ni "Nyuki" huwa hawakumbatiwi.
Muda ni shahidi mkuu......