Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Ameacha vishetani vyake!Tupuuzi kwerikweri!😂😂😂😂Dunia ndivyo ilivyo hata shetani ana wafuasi daima.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameacha vishetani vyake!Tupuuzi kwerikweri!😂😂😂😂Dunia ndivyo ilivyo hata shetani ana wafuasi daima.
Hoja haipigwi runguHii nchi wajinga ni wengi
Wacha umagufuli aliyejifanya kama hii nchi ni mali yake na mwisho wa cku kaondoka na wala hakuwaachia wanawe hii nchi ni ya watanzania wote mwache afanye anayoyaamini mwishowe ataondoka na kumwachia mtanzania mwengine ataeridhiwa na watanzania kwa njia ya kidemokrasia c kwa nguvu kama alivyofanya dikteta.Mhe. Rais wewe ni mzoefu kwenye siasa za Tanzania. Kwa sasa ni kama unatafuta huruma ya wapinzani na unafanya vya kuwafurahisha lakin jua hii kitu itakugharimu
Kuachiwa kwa Mbowe, kukutana na Lisu ubeligiji, kujipanga kuruhusu mikutano ya kisiasa nk yote unatafuta kuonekana unajali ila ujue wapinzani hawaonagi jema.
Lisu sasa anademand utoe kauli ya kumkaribisha nyumbani na kwamba atakuwa salama, ni kama anakuamuru vile
Mbowe iko siku atasimama jukwaani na kukutukana live
Stay tuned hutaamini kama ni wao. Ule msemo wa shukrani ya punda unatimizwa vizuri na hao jamaa
Kama si "hoja-mashiko" unaikung'uta rungu tu.Hoja haipigwi rungu
Changamoto ni hizi soda husababisha kisukari mkuu.Ningelipa unywe polepole huku unatafakari.Wacha umagufuli aliyejifanya kama hii nchi ni mali yake na mwisho wa cku kaondoka na wala hakuwaachia wanawe hii nchi ni ya watanzania wote mwache afanye anayoyaamini mwishowe ataondoka na kumwachia mtanzania mwengine ataeridhiwa na watanzania kwa njia ya kidemokrasia c kwa nguvu kama alivyofanya dikteta.
Na kutokana na siasa ambazo anazifanya Mama kwa sasa ndio anazidi kabisa, kulipoteza hilo li mwendazake!!kama vipi mfuateni tu huko basi,Mimba aliyokuachia Mwendazake hujajifungua mpk leo? Kafanye abortion km inakutesa hivyo
Halafu utakuta ni jitu zima na makwapa yamejaa nywele.Hawa watu sijui wakoje.Hapo atakuwa amechukia Mbowe kutoka lupango.Chawa wa CCM bhana hv mnafkiri nchi yenu pekeenu.
Mwache ajute we kina kuuma nn.
Mnaishi kimashaka Sana , Hatia sio kitu kizuri kabisa.😂
Kilambalila kwetu mtu mwenye mawazo finyuMhe. Rais wewe ni mzoefu kwenye siasa za Tanzania. Kwa sasa ni kama unatafuta huruma ya wapinzani na unafanya vya kuwafurahisha lakin jua hii kitu itakugharimu
Kuachiwa kwa Mbowe, kukutana na Lisu ubeligiji, kujipanga kuruhusu mikutano ya kisiasa nk yote unatafuta kuonekana unajali ila ujue wapinzani hawaonagi jema.
Lisu sasa anademand utoe kauli ya kumkaribisha nyumbani na kwamba atakuwa salama, ni kama anakuamuru vile
Mbowe iko siku atasimama jukwaani na kukutukana live
Stay tuned hutaamini kama ni wao. Ule msemo wa shukrani ya punda unatimizwa vizuri na hao jamaa
Leo katuangusha watu wazima kwa mawazo yake finyu.😂😂😂Kilambalila kwetu mtu mwenye mawazo finyu
Mafuta ya kupikia Lita 5 shilingi elfu 37Mhe. Rais wewe ni mzoefu kwenye siasa za Tanzania. Kwa sasa ni kama unatafuta huruma ya wapinzani na unafanya vya kuwafurahisha lakin jua hii kitu itakugharimu
Kuachiwa kwa Mbowe, kukutana na Lisu ubeligiji, kujipanga kuruhusu mikutano ya kisiasa nk yote unatafuta kuonekana unajali ila ujue wapinzani hawaonagi jema.
Lisu sasa anademand utoe kauli ya kumkaribisha nyumbani na kwamba atakuwa salama, ni kama anakuamuru vile
Mbowe iko siku atasimama jukwaani na kukutukana live
Stay tuned hutaamini kama ni wao. Ule msemo wa shukrani ya punda unatimizwa vizuri na hao jamaa
Mhe. Rais wewe ni mzoefu kwenye siasa za Tanzania. Kwa sasa ni kama unatafuta huruma ya wapinzani na unafanya vya kuwafurahisha lakin jua hii kitu itakugharimu
Kuachiwa kwa Mbowe, kukutana na Lisu ubeligiji, kujipanga kuruhusu mikutano ya kisiasa nk yote unatafuta kuonekana unajali ila ujue wapinzani hawaonagi jema.
Lisu sasa anademand utoe kauli ya kumkaribisha nyumbani na kwamba atakuwa salama, ni kama anakuamuru vile
Mbowe iko siku atasimama jukwaani na kukutukana live
Stay tuned hutaamini kama ni wao. Ule msemo wa shukrani ya punda unatimizwa vizuri na hao jamaa
Aliponye Taifa na nini?Tatizo lenu TEAM MWENDAZAKE, mnahisi zile siasa za kishamba ndio zenye manufaa!!kitu gani cha maana sana ambacho jiwe alikifanya kwa kupitia njia yake hiyo, ukilinganisha na jk ktk awamu yake?eti shukrani ya punda, kwani kuruhusu demokrasia na uhuru ni takwa la rais?!!Angalia siasa za KENYA, na jinsi Kenyata alivyo fair, tunawazidi nini?!kutokana na siasa zao za kuruhusu matakwa ya katiba ndio yawaongoze?!
Mkuu siasa zile muasisi wenu ndio hivyo tena, Muacheni mama aliponye taifa, na huko zanzibar mwinyi anapata upinzani mkubwa sana kutoka kwa maa consevatives, kwani bado wanataka siasa zile za mguu wa shingo, mguu wa roho!!na yeye siasa hizo hazitaki!!kwani muasisi wake jiwe hayupo.
Ifikie kipindi tuambiane ukweli hivi matusi hasa ni nn? Maana kwa wanaccm hata kuongelea katiba ni matusiMbowe hanaga matusi kabisa, Ni mkristo yule tusimsingizie!
Umetumwa na Polepole ???Mhe. Rais wewe ni mzoefu kwenye siasa za Tanzania. Kwa sasa ni kama unatafuta huruma ya wapinzani na unafanya vya kuwafurahisha lakin jua hii kitu itakugharimu