Rais Samia unajiandalia majuto ambayo hutayasahahau kwenye maisha yako ya kisiasa

Nadhani tayari amekwishaziona rangi zao vizuri mkuu kilambalambila.

Sasa hivi wanamlazimisha kuongea nao bila vyama vingine kule TCD.

Kikwete alijitahidi hadi kunywa nao chai Ikulu lakini bado walimn'gata.

Hao jamaa ni "Nyuki" huwa hawakumbatiwi.

Muda ni shahidi mkuu......
 
Sikia siasa za ujua ,mabavu zimeshindwa kwenye mataifa mengi, ndo maana mataifa wanaong,ang,ania na mkakati huu ,vita haikomi, wengine huishiwa pinduliwa,maendeleo ni zero

Kama Rais huwezi kuwa na maono ya Mambo Kama aya basi ,unakua na matatizo ya akili, jifunzeni Kenya ,Zambia,

KWa ushauri wako unamuingiza rais chaka, Kama tunataka jenga taifa imara ni lazima kwenda na mawazo ya watanzania wote,
Acheni unafiki Kama Rais anania ya dhati ACHA afanye ata zaidi ya sasa,

Mwendazake mlimuingiza chaka ,YAKO wapi Sasa,
 
eti leo hii raia mmoja ameshiba huko anamwambia Rais na serikali mhakikishie ulinzi ndio yeye apande ndege aje Tanzania..

Mama inabidi uwe mkorofi kidogo kwa wajinga, tofauti na hapo watakusumbua na kufanya ushindwe kuwaongoza majority kwenye masuala muhimu..
 
Acha roho mbaya na chuki kwa raia wenzako.
 
JK alileta mchakato wa katiba, ukaanza vizuri kwenye stage ya maoni ilipofika kwenye mikono ya wajinga tu, zikaanza kelele huko na kule na madai lukuki yasiyo na maana kana kwamba sasa kila jambo lazima likamilike wakati huo...kumbe tungeweza leo kuwa na katiba mpya ambayo ingekuwa mpaka leo imeshatatua baadhi ya mambo na mengine yangeendelea kubadilishwa kila wasaa ukipatikana...

Ujuaji, Ujuaji, Ujuaji, Ujuaji..
 
Anatoa na masharti kwamba mama aite media atoe kauli kwamba anamkaribisha nyumbani. Yaani Rais wa nchi aaite media amkaribishe nyumbani lisu, ni ajabu sana. Majamaa yanaona yashamuwin mama sasa yanamtengenezea scenarios tu
 
Pande zote mbili zina mazuri na mapungufu, bila kuliona hilo mtatumia muda mwingi na gharama kubwa kuumizana badala ya kujenga nchi

yapo mazuri nakubaliana na wewe, ila kuna namna yakuyawakilisha... lakini pia tukumbuke kipo chama kilichoshika dola kwa kutumia ilani yake.... na kwenye uchaguzi huwa zinashindanishwa ilani na itakayoshinda ndiyo itakayotumika...

Siasa za kiaAfrica au Tanzania kwa kiasia kikubwa ni kusaka dola hata kama kuna wakati inapaswa utulivu ili umpe nafasi aliye madarakani kutekeleza kila anachokiamini...
 
Siasa za kiaAfrica au Tanzania kwa kiasia kikubwa ni kusaka dola hata kama kuna wakati inapaswa utulivu ili umpe nafasi aliye madarakani kutekeleza kila anachokiamini...
Hapa sasa ndipo panatakiwa kutafutiwa namna bora ya kupasahihisha ili kuja na mstakabali, kama ni kuundwa chombo cha kutoa elimu kwa vyama vya siasa kufanya siasa za kiistaarabu basi ifanyike hivyo badala ya mwenye dola kuwadhuru wanaompinga, haitakaa itupe amani abadan
 

Mmesha anza:



Hamchoki tu? Si bure!
 
Kuna teuzi za uyaya ikulu ya dom utapata,uchawa wako uko juu
 
Hii nchi Uhuru umezidi,Kufikia hatua ya Kumtisha Rais. Mbona Alishasema Urais ni Taasisi sio mtu...Ukitukana hujamtukana yeye hilo Ulijue kabisaa tena yeye hata Hashtuki.
 
Anatoa na masharti kwamba mama aite media atoe kauli kwamba anamkaribisha nyumbani. Yaani Rais wa nchi aaite media amkaribishe nyumbani lisu, ni ajabu sana. Majamaa yanaona yashamuwin mama sasa yanamtengenezea scenarios tu

Huu si upotoshaji ndugu?

1. Serikali iliamua Lissu auawe.
2. Amri ya kuuwawa ikatolewa.
3. Utekelezaji wa kumwua ukafanyika.
4. Akanusurika kwa kudra za Mola tu.



Anachoomba Lissu ni kuhakikishiwa nia hii ya serikali kumwua kuwa imeondolewa.

Wewe uko kwenye nafasi ya kufanya hivyo?
 
Mi
Kuna teuzi za uyaya ikulu ya dom utapata,uchawa wako uko ju

Hii nchi Uhuru umezidi,Kufikia hatua ya Kumtisha Rais. Mbona Alishasema Urais ni Taasisi sio mtu...Ukitukana hujamtukana yeye hilo Ulijue kabisaa tena yeye hata Hashtuki.
Taasisi ya u-Rais anayebeba bendera yake ni yeye. Hoja kwamba ukitukana Rais umetukana taasisi yeye hausiki si sahihi
 
Correct! Mama anaamini anajenga ustaarabu lakin wapinzani hawana ustaarabu always.
Upinzani sio aina ya mtu bali ni mtu mwenye mawazo tofauti na wewe.hao unaowaona ni wapinzani leo kesho watakua ndio watawala na wewe ukawa mpinzani.au wnaweza wakaamua kujiunga upande uliko wewe alafu tuone hii kama utakua na hii kauli yako yakijinga.Tujifunze kukubali mawazo mbadala maana hii nchi haina mwenyewe tunapishana muda tu.
 

Mimba aliyokuachia Mwendazake hujajifungua mpk leo? Kafanye abortion km inakutesa hivyo
 
Tulishasemaga, yetu macho. Huyo mbowe kashaanza pepeta mdomo utafikiri sio yule alikua mdomo wa kwenda kunyea debe lupango. Asingeweza kujitetea kesi zote nne lazima angefungwa jela.
 
Ni muda sasa unapaswa ukue.Mmekaa kipuuzipuuzi tu.Akili za Magufuli uache.Hazina tija.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…