Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Takriban 90% ya threads zote kwenye JF ndani ya siku hizi 2 zinahusu sakata la mkataba wa Tanzania na DP WORLD ya UAE.
99% ya comments hazikubaliani na namna Rais Samia na Bunge walivyo handle mkataba huu. Kuna vitu 3 vikubwa ambavyo hata wale wanaounga mkono ubinafsishaji hawakubaliani:-
1. Kutokuwa na uwazi katika namna ambavyo mkandarasi amepatikana
2. Mkataba kutokuwa na ukomo au perpetual contract
3. Article 23 kuhusu mkataba kutovunjwa au kusimamishwa
4. Namna Bunge lilivyo fast track
Mimi siyo chawa wa Samia japo naunga mkono mambo mengi aliyofanya tangu 2021 alipochukua nchi.
Lakini kwa hili kumtetea Rais Samia lazima uwe MWENDAWAZIMU.
Ushauri:
1. Bado mapema mno na DP WORLD hawajawekeza chochote, Rais achukue maoni ya wananchi walio wengi AU
2. Rais ASITISHE Mkataba mara moja.
Kinyume cha hapa miaka 2 hii iliyobakia itakuwa michungu kwake. Hata uchaguzi wa 2025 HAWEZI kupita LABDA atumie style za Magufuli, kitu ambacho naamini hawezi kuvaa ukatili wa Magufuli