Rais Samia unao muda wa kujisahihisha; Pokea maoni ya kuboresha mkataba au futa mkataba wa DP WORLD

Hivi huwa hamuwezi kutoa maoni yenu bila kugusa jina la hayati Magufuli?

Hapa ndio huwa mnakosea sana,Samia alikuwa msaidizi wa Magufuli namba moja,mnamuondoaje kwenye utendaji wa Magufuli?
Kwanini hakujiuzulu kama hakupendezwa na uongozi wa boss wake?
Ifike mahala toeni maoni yenu bila kutaja jina la hayati Magufuli,na inawezekana kabisa,achaneni na marehemu ambaye hawezi jitetea wala kujibu chochote
 
Amina Mkuu, Asante kwa uzalendo wa kweli kwa taifa lako. Mwenye sikio na asikie.
 
Wewe ni nani unatupangia nani wa kumlaumu na nani tusimlaumu? Hivi huyo paka wako unadhani alikuwa mzalendo kama alivyokuwa anajitapa?
 
🪓🪓🪓🪓🪓
 
Hivi huwa hamuwezi kutoa maoni yenu bila kugusa jina la hayati Magufuli?
Huyo pimbi ndiye alikataa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo kwa sababu zake ZA HOVYO. Leo hii China na Oman wangekuwa wamemaliza kujenga na uchumi ungekuwa umezinduka, sidhani kama hoja ya DP WORLD ingekuwapo
 
samia hawezi fanya chochote kati ya hivyo,kwa kuwa ni rais dhaifu...Na hao waarabu wanajua hilo ndo maana wanajichukulia tu mali za watanganyika na samia hilo halimuumi.
 
Swissport ni mfano mzuri ila nadhani hauna kile kipengele cha mkataba usioisha
 
Swissport ni mfano mzuri ila nadhani hauna kile kipengele cha mkataba usioisha
Mkataba usioisha uliowasilishwa bandarini kwa kifupi sio ule operational upo zaidi kiserikali.

Mikataba ya kazi ni hii ya hatua inayofuata ambayo inazihusu sekta husika ambazo Mwekezaji na wazalendo wataingia kwa ajili ya kikazi zaidi, hii mikataba inakuwa na uhai wa makubaliano, inakufa muda wowote na kuufanya mkataba mama usiwe na sababu ya kuwepo.
 
Tuwataftie alshababu, Hawa w
Tuwaue tu mjomba
 
Watanzania wamekwisha TEST MITAMBO kwa MGOMO wa Kariakoo, hili la Dubai ni baya kuliko la Kariakoo. Sasa hivi kuwaitisha watu mtaani ni DAKIKA SIFURI.
Na NHC inataka wafanyabiashara hao wahame atafute mwekezaji mwingine!!! Dawa ya jeuri Kiburi!?
 
Huyo pimbi ndiye alikataa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo kwa sababu zake ZA HOVYO. Leo hii China na Oman wangekuwa wamemaliza kujenga na uchumi ungekuwa umezinduka, sidhani kama hoja ya DP WORLD ingekuwapo
Kuna muda tulikuwa Uchumi wa kati,!!
 
Kwahili niko tayari kuingia barabarani kwa yeyote atakayeanzisha maandamano ya kupinga.
Kwa nini usianze wewe kuingia barabarani? Hii ndiyo shida ya Watanzania! Kazi kuwajaza wenzao ndimu tu kwa kuandika kwenye mitandao
 
Narudia.
Nchi hii Jk akiendelea kuishi tutataabika sana.
Huyu ndiye mtaabishaji wa nchi..

Jambazi
Mfitini
Mlaghai
Mwizi
Fisadi kuu
Mnafiki

##kataaJK##

Muache mzee wa watu apumzike kwani kulikua na saini yake pale kwenye kuuzwa bandari
 
I second.Nia inaweza kuwa ilikuwa nzuri lakini kelele za wananchi zimekuwa tuu machi
 
Uko sahihi kabisa. Ila tungeanza kwanza na bandari zilizoko Zanzibar ambako mara zote wametamani kuwa kama Dubai. Tanganyika tutajifunza na kufaidika na uzoefu wao ikiwa kweli watakuwa kama Dubai.
 
Wabunge wetu wamebaki watu wa ndio ndio ndio na kugonga Meza, yaani wote wazo lao ni moja.

Akitokea Mbunge mmoja anajalibu kuzungumza tofauti ni, Muomgozo, muongozo miongozo.

Spika ndio kabisa utadhani ndio Serikali yenyewe ya waliosaini.

Nchi za Kiafrika haziendelea kiuchumi sababu ya mikataba mibovu kama hii.

Utadhani hatuna viongozi wanaokaa chini na kuweka maslahi ya nchi mbele.

Ukweli usemwe hapa inawezekana kabisa viongozi wamewekewa hisa binafsi kwenye huu mkataba.
 
Zimwi likujualo
 
Washauri wa Saa100 na yeye mwenyewe asome huu mkataba ili wajifunze na kujiuliza kwanini ni bandari za Bara tu .

Na aone wazi kuwa ameuza Tanganyika.

Pia aone kuwa hatoshei nafasi aliyopewa na katiba
Pia mikataba 17 aliyosaini huko Dubai iwekwe wazi isije ikawa Ngorongoro crater na SGR amesainisha tena waarabu mikataba ya aina hiyo
 

Attachments

samia hawezi fanya chochote kati ya hivyo,kwa kuwa ni rais dhaifu...Na hao waarabu wanajua hilo ndo maana wanajichukulia tu mali za watanganyika na samia hilo halimuumi.
Nguvu ya umma ipo itamtoa kama wale wa Srilanka. Au hukuona wakati wa sakata la TRA na Wafanyabiashara wa Kariakoo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…