Waachie huru ndugu zetu kwanzaRais Samia rudisha Balozi nyumbani mara moja, na kama wao wanayo wa kwao hapo kwetu timua hii ni sauti ya Watanzania.
Acha kiherereRais Samia rudisha Balozi nyumbani mara moja, na kama wao wanayo wa kwao hapo kwetu timua hii ni sauti ya Watanzania.
Hatutaki kuwa na urafiki na wauaji. Mtoa mada yupo sawa
Kuua siyo kujilinda
Dini inasumbua Huyo...mashekh ubwabwa wanamdanganyaHamas hawakuua?, Tena wakaua Hadi wapalestina wenzao wanaoishi Israel eneo la Bedouin.
It was mistake yang'wanoko, Kang'welage noko.
Janjaweed usiku wa juzi wamepukutisha watu zaidi mia 2 na ushee ndani ya usiku mmoja tu na Dunia ipo kimyaaa kwasababu perpetrator sio myahudi ama mkristo.
Magaidi mna tumia vibaya nyumba za ibada
View: https://twitter.com/sentdefender/status/1721565388662600191?t=LScA9baTW0ENDFZdZohjvA&s=19
Tulio wengi tunataka hivo na itakuwa subiri uone...It was a mistaken in the first place kwanini kufungua ubalozi kule.
Ndivo kanisa linawafundisha hivo?Mtoa mada ni Fala kwelikweli..
Kwani Burundi na Somalia wanagombania uhuru wao? Hii ni kama ile ya South Africa,Kwani tulishawahi kufunga ubalozi wa Russia hapa Tanzania?
Ya ngoswe tumuachie ngoswe, sisi tudeal na mambo ya Burundi, Somalia, DRC, Sudan, Eritrea.
Kwani walicho fanya wapalestina kilikua ni nini 🤔🤔 alafu palestina haina faida yoyote kwa Tanzania kama ilivyo Israel, vita ni yao haituhusu kwa namna yoyote ileHatutaki kuwa na urafiki na wauaji. Mtoa mada yupo sawa
Inatuhusu sana,kama binaadam dhulma inafanyika hatuwezi kaa kimya.kwani nyinyi wakristo wa Africa mna shidagani na waislam???Kwani walicho fanya wapalestina kilikua ni nini 🤔🤔 alafu palestina haina faida yoyote kwa Tanzania kama ilivyo Israel, vita ni yao haituhusu kwa namna yoyote ile
Kwani huko myahudi anapotowa roho za watoto dunia imefanya nini??? Halafu kumhusisha myahudi na ukristo mnapata wapi ujasili huu?? kujipendekeza?? Afadhali hata waislam wanafanana diniyao na uyahudi kuliko huo ukatoliki...Wayahudi hawali kibudu kama Waisla. Wanaandika toka kulia kwenda kushoto kama wailam,wanawake wao Hijab kama waislam,hawaamini kwenye Christmas kama waislam na Lugha yao ni Kiarabu na Kiyahudi.na mengine nengi,sasa nyinyi hapo Buza kujipendekeza tu...It was mistake yang'wanoko, Kang'welage noko.
Janjaweed usiku wa juzi wamepukutisha watu zaidi mia 2 na ushee ndani ya usiku mmoja tu na Dunia ipo kimyaaa kwasababu perpetrator sio myahudi ama mkristo.