Kwanini asifunge ule wa wapalestina waliopigana upande wa Iddiamini kwenye Ile vita na Uganda ??Rais Samia rudisha Balozi nyumbani mara moja, na kama wao wanayo wa kwao hapo kwetu timua hii ni sauti ya Watanzania.
Kwa sababu gani?Rais Samia rudisha Balozi nyumbani mara moja, na kama wao wanayo wa kwao hapo kwetu timua hii ni sauti ya Watanzania.
😃😃😃Kwanini asifunge ule wa wapalestina waliopigana upande wa Iddiamini kwenye Ile vita na Uganda ??
Kikao chenu kilifanyika wapi? Na nani kati yao kakuteua kuwa msemaji? Na ulihudhulia kama nani hasa!1.southafrica
2.chad
3.colombia
4.bahrain
5.honduras
6.turkey
7.jordan
8.jordan
9.bolivia
Tumeshuhudia Libya ikisulubiwa kweupee..na Hakuna ubalozi uliofungwa ....Rais Samia rudisha Balozi nyumbani mara moja, na kama wao wanayo wa kwao hapo kwetu timua hii ni sauti ya Watanzania.
Anaanzaje kuufunga ilihali mpaka sasa kuna watanzania wawili wameshikiliwa mateka na Hamas?...Rais Samia rudisha Balozi nyumbani mara moja, na kama wao wanayo wa kwao hapo kwetu timua hii ni sauti ya Watanzania.
Balozi wa Israel yupo nairobi Kenya hapa bongo upo ubalozi wao mdogo tu.Rais Samia rudisha Balozi nyumbani mara moja, na kama wao wanayo wa kwao hapo kwetu timua hii ni sauti ya Watanzania.
Wa Tanzania hatuna ujinga hiyo, ujinga hiyo ni yako wewe mwenyewe!Rais Samia rudisha Balozi nyumbani mara moja, na kama wao wanayo wa kwao hapo kwetu timua hii ni sauti ya Watanzania.
Kama habari za kimataifa zinakupa tabu sio kasa languKikao chenu kilifanyika wapi? Na nani kati yao kakuteua kuwa msemaji? Na ulihudhulia kama nani hasa!
Ezekiel mmbaga bana acha matusi mara moja.Sauti ya mpumbavu mmoja haijawahi kuwa ya watanzania
Sawa mamaaEzekiel mmbaga bana acha matusi mara moja.
Sauh'waah?
Hilo ndo jibu? AsanteKama habari za kimataifa zinakupa tabu sio kasa langu
Mkuu labda hufuatilii habari za kimataifa katibu mkuu wa united nations kaelezea wazi kuhusu hili swala kwamba unamkandamiza mtu kwa miaka 50 leo unalalamika kwa shambulio lake moja?Watu wanafiki sana, ndio maana Israel ameamua kufunga masikio awamalize Hamas. Wakati Hamas anavamia Israel na kuua watu hovyo, Leo Israel kaingia Gaza kuwamaliza mnalalamika. Hizo nchi zikivamiwa kidogo tu zitapigwa kelele.
Acha pombe mjomba. Arudishe balozi kwa ujinga wa HamasRais Samia rudisha Balozi nyumbani mara moja, na kama wao wanayo wa kwao hapo kwetu timua hii ni sauti ya Watanzania.