Benaya-
JF-Expert Member
- Jul 31, 2019
- 4,415
- 7,631
Tumkosea bila kumwita majina mabaya mazee, but ni mdhaifuHuyu ni sawa na bi kidude, muimba taalbu tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumkosea bila kumwita majina mabaya mazee, but ni mdhaifuHuyu ni sawa na bi kidude, muimba taalbu tu.
Wewe sio mfanyakazi kwa hiyo hujui chochote upande huo.Mwendazake Rais John P. Magufuli alikuwa na sifa moja nzuri kwa kiongozi yeyote.
Kusimamia utekelezaji wa kile alichoamini na kukiamua bila kujali matokeo yake yaani yawe wazuri au mabaya, hasi au chanya...
Alikuwa ni aina ya viongozi "risk takers". Hakuogopa matokeo ya kushindwa. Nadhani ndiyo maana tulimchukia kwa sababu licha ya sifa zingine mbovu, chafu na hovyo alizokuwa nazo kama kiongozi mkuu wa nchi, alikuwa ni " risk taker" kupitia maisha ya watu [something which was very bad] na kuwaathiri wengi negatively.
Sasa tunaye huyu mama mwenye jina la Samia Suluhu Hassan ambaye mimi namwona kama "Ceremonial President tu asiyeweza kusimamia kwa vitendo anachokitaka kiwe ili kilete matokeo anayoyataka.
Sina hakika kama ni hofu na woga unaochangiwa na jinsia yake ya kike au kutojiamini au kuhujumiwa na wasaidizi wake wa kisekta....
Tunafahamu kuwa, kwenye uongozi wa kisiasa hususani ktk siasa za kiafrika (Tanzania ikiwemo), maneno na ahadi zenye kutumainisha waongozwa huwa ni nyingi lakini kuweka ktk utekelezaji maneno hayo ya ahadi huwa kwa 80% ni BIG ZERO.
Hata hivyo, in this short period of time of her presidency, Mama Samia Hassan seems to have failed spectacularly.
Hivi ndivyo mtu anaweza kumwelezea Rais wa JMT, Mama Samia Suluhu Hassan.
Zifuatazo ni baadhi ya ahadi za kiutendaji za serikali ambazo zilishatolewa na Rais Samia S. Hassan ndani ya karibu miezi minne ya U - Rais wake lakini hakuna utekelezaji;
1. Katika sherehe za wafanyakazi [maarufu kama MEI MOSI] Mwanza mwaka huu aliahidi kwa kinywa chake mchana kweupe mambo mawili kwa wafanyakazi wote. Moja kupunguza PAYE kwa 1% kuanzia mwaka mpya wa fedha Julai 2021/2022 na kupandisha kima cha chini cha mishahara mwaka wa fedha ujao Julai 2022/2023..
MATOKEO YAKE:
å 1% ya PAYE haijaondolewa [ni ZERO ACTION] unless wafanyakazi wa mshahara wawe hawaja realize hili kupitia mishahara yao ya mwezi July.
å Kupandishwa mishahara, bado inasubiriwa maana ni mwakani kama alivyoomba/ahidi. Kwa hili, tunampa the benefit of the doubt and see if she meant what she promised.
2. TOZO za miamala ya simu. Mara baada ya malalamiko ya wananchi kukolea, mara moja kwa maneno yake laini alijitokeza na kutaka hilo liwe suspended ili liangaliwe upya.
MATOKEO YAKE:
å Bado ni zero. Cha kushangaza zaidi leo akiwaapisha wale mabalozi 13, kasema tozo zipo ila marekebisho "fulani" yanaweza kufanyika. Hii siyo kauli ya Rais mwenye mamlaka. Hii ni kauli ya kiongozi asiyejiamini. Kwa wanaoweza kutambua lugha, hiyo maana yake TOZO ZITAENDELEA. Kama kuna abishae, asubiri...
3. Kuhusu "national political reconciliation", aliahidi kukutana na wanasiasa wenzake walio nje ya serikali maarufu kama "vyama shindani dhidi ya chama kinachoongoza serikali" ili kujadili namna wanavyoweza kufanya shughuli zao za kisiasa bila mikwaruzano...
MATOKEO YAKE:
å Big ZERO. Badala yake huyu amegeuza yaliyokuwa yawe maridhiano ya kisiasa kati ya chama cha siasa kinachoongoza serikali [CCM] na vyama shindani dhidi yake kuwa vita huku chama tawala kikitumia vizuri udhaifu wa mfumo wa kikatiba na kisheria kunyanyasa na kuonea wapinzani wake. This is too bad...
SWALI NI:
Atafika wapi huyu mama na wenzake kwa uongo na ulaghai wao wa kisiasa?
Ni hayo tu kwa uchache kwa leo
😂😂😂😂Shamba lililokua linalimwa na msukuma Mzanzibari hawezi hata kufikia robo
Katika nchi yetu Rais ni "executive president" lakini cha ajabu yeye ignorantly au kwa kudanganywa kaamua awe "Ceremonial President"
Baadhi ya jamaa humo ktk serikali yake without her knowledge, tayari wameshampora mamlaka yake...
Yaani, they have left with just one step ahead kumpindua, kumweka kando kabisa..
Asiposhtuka na kuchukua hatua muhimu, hili lipo linakuja...!!
Aiseee,maana naona masuala mazito yanayogusa wananchi moja kwa moja yaliyohitaji utatuzi wake, kayarudisha kwa kamati ya mawaziri haohao waliopendekeza hizo tozo za viwango vya juu, zisizo na tija....... yaani mie naona tukubali tu yaishe....
Mkubwa, kwani sisi "tukitulia hivi hivi", wewe utakuwa unafurukutia wapi..?Ukimsifia mgema Tembo ulitia maji
Wa kulaumiwa hapa ni wale wale
Waliokuwa wanasifia anaupiga mwingi
Leo wamepigwa stroke na sifa zao za kijinga
Mtulie hivyo hivyo
mwenye kuikataa neema ya Bwana majanga ufika
Tumemkataa mwenye maono tume mkubali mpiga dili acha watunyooshe kwanza ili kizazi kijacho kiwe 'na adabu ,,
Kama "mimi siyo mfanyakazi", unadhani huwa nakula nini sasa maana imeandikwa;Wewe sio mfanyakazi kwa hiyo hujui chochote upande huo.
Kuhusu tozo keshasema wanasubiri uchambuzi wa kamati keshokutwa
Hayo mengine ni utasubiria hadi 2030 yaani ukutane na gaidi na yule aliyeolewa Ulaya Ili kujadili nini?
Ukisikia kelele ujue pameuma,Maza kamatia hapo hapo na watu wenye dharau kama mtoa mada kawapumzishe sero na KM wafanye Kazi yao.
Unafanya Kazi ambayo sio ya kuajiriwa na Serikali,ungekuwa umeajiriwa ungeelewa kwamba punguzo la kodi limeleta sh.2500Kama "mimi siyo mfanyakazi", unadhani huwa nakula nini sasa maana imeandikwa;
"... asiyefanya kazi na asile...?"
Si ningekuwa hata hunisomi hapa? Ningeshakufa kwa njaa...!
Unless uniambie "mimi siyo mfanyakazi" kwa maana ipi na kwanini unadhania hivyo...!
Think before you write or comment anything...
Huyu mama wala si wa kumpa muda. maana ishajionyesha dhahiri kuwa si mtu mwenye msimamo kwa kauli zake anazotoa. Anaweza akawa na njema ila wakitokea wahuni na kumshawishi kuhusu kitu fulani hachelewi kubadilika. Hiyo ndio hofu yangu mimi.Mpeni mda jamani, bado mapema sana kuanza kumlaumu. Hamtaki, hamieni burundi