Rais Samia, uongozi si hotuba zenye maneno matupu. Uongozi ni matendo yenye matokeo ya ulichotamka

Lile lijinga tu....m nkajua linakuja na suluhu kama jina lake kumbe bado mnategemea hayo mavikao yenu yakipumbav..aliyesema hil liserkal linaongozwa na watu wasio na maamuzi kwel alipatia...huyu n kiongoz wa hovyo kuwai kutokea, pengine hovyo kulko hata lile lizee la msoga[emoji44][emoji44][emoji44]......mdude njoo uwanyoe hawa watu wako
 
Somo limepatikana ukiona kiongozi katokea ukanda wa pwani ujue tutaenda kipwanipwani. Sasa hivi kila mfanyakazi ana uhakika kesho yuko kazini wakati enzi hizo ukiboronga unasikilizia breaking news muda wowote.
 
Nimekata tamaa kabisa. Mwendazake alisema tutamkumbuka
 
Wewe sio mfanyakazi kwa hiyo hujui chochote upande huo.

Kuhusu tozo keshasema wanasubiri uchambuzi wa kamati keshokutwa

Hayo mengine ni utasubiria hadi 2030 yaani ukutane na gaidi na yule aliyeolewa Ulaya Ili kujadili nini?

Ukisikia kelele ujue pameuma,Maza kamatia hapo hapo na watu wenye dharau kama mtoa mada kawapumzishe sero na KM wafanye Kazi yao.
 
Kama angetoka Kikwete na kuingia Samia basi tusingeona shida sana ila tatizo aina ya uongozi ya Magufuli hasa kwenye utendaji na uwajibikaji ndio kitu kinachotufanya tuone udhaifu wa Samia kwa kiasi kikubwa, Samia ni kama bado anajihisi ni makamu wa rais.
 
Ukimsifia mgema Tembo ulitia maji
Wa kulaumiwa hapa ni wale wale
Waliokuwa wanasifia anaupiga mwingi
Leo wamepigwa stroke na sifa zao za kijinga
Mtulie hivyo hivyo
mwenye kuikataa neema ya Bwana majanga ufika
Tumemkataa mwenye maono tume mkubali mpiga dili acha watunyooshe kwanza ili kizazi kijacho kiwe 'na adabu ,,
 
Aiseee,maana naona masuala mazito yanayogusa wananchi moja kwa moja yaliyohitaji utatuzi wake, kayarudisha kwa kamati ya mawaziri haohao waliopendekeza hizo tozo za viwango vya juu, zisizo na tija....... yaani mie naona tukubali tu yaishe....

 
Aiseee,maana naona masuala mazito yanayogusa wananchi moja kwa moja yaliyohitaji utatuzi wake, kayarudisha kwa kamati ya mawaziri haohao waliopendekeza hizo tozo za viwango vya juu, zisizo na tija....... yaani mie naona tukubali tu yaishe....

By virtue, huyu mama ameshapinduliwa...

Nchi hii haina Rais. Tuna picha tu ya mtu mwanamke anayeitwa Rais Samia Suluhu Hassani..

Kumbe ni kweli hii nchi ilikuwa haijawa tayari kuongozwa na mwanamke...
 
Mkubwa, kwani sisi "tukitulia hivi hivi", wewe utakuwa unafurukutia wapi..?

Angalia usije ukajidhania kuwa wewe umesimama wakati bila kujua kumbe unaweza kuanguka wakati wowote.. !
 
Kama "mimi siyo mfanyakazi", unadhani huwa nakula nini sasa maana imeandikwa;

"... asiyefanya kazi na asile...?"

Si ningekuwa hata hunisomi hapa? Ningeshakufa kwa njaa...!

Unless uniambie "mimi siyo mfanyakazi" kwa maana ipi na kwanini unadhania hivyo...!

Think before you write or comment anything...
 
Kitendo cha kumuweka Mbowe ndani kimeniudhunisha sana. Anaonesha anafuata nyayo za Magu. Ni mwisho unakuaga mbaya
 
Mama yupo strong sema tu hauoni
Hio paye imeshushwa kijana acha kupotosha kuwa haijashushwa

Kuhusu Tozo usidhan samia hakuzipitisha mwanzon mpaka zinaenda bungeni ? Jua alizipitisha na ndo mana hataki bughdha na kelele zenu na kawachana live kuwa Tozo zipo hata mfanyaje

Sasa unasemaje hapo kuwa hana msimamo ?
 
Unafanya Kazi ambayo sio ya kuajiriwa na Serikali,ungekuwa umeajiriwa ungeelewa kwamba punguzo la kodi limeleta sh.2500
 
Siweki hela kwenye simu
Nishakwepa.
Halafu kumbe hawa viongozi wakubwa wapo humu kwa majina batili wanatuchora [emoji41][emoji41][emoji41]
Please msichukulie poa wakati upo tutawang'oa kama meno mabovu
 
Kwa jicho la tatu au ukifikiria nje ya box mheshimiwa anajitajidi sana kwa kariba yake. Ila tu wasaidizi wake haswa anaowategemea wanamuangusha.

Kenya watu wa pwani huwa wanaitwa watu wa coast hiyo mark inaweza kukuonyesha ni watu wa aina gani wanatokea Lamu,mombasa, Tuvute subira wakati ukuta.
 
Kama ilivyokuwa kwa Dkt Magufuli mtangukizi wake, Mama anaupiga mwingi kwa kutengeneza mfumo. Tumpe sapoti mama ayaendeleze yale ambayo watangulizi wake waliyatenda na kuishia njiani Watanzania tuna imani na rais wetu Mama Samia, kwani kazi ya kujenga nchi siyo lelemama. Acha miamala ya tozo tutozwe gharanma kubwa ili tuhamie kwenye mabenki ili benki zetu zikue maana hayo makampuni ya simu ni ya nje ya nchi na faida wanaondoka nazo. Mungu mbariki sana Mama Samia, hakika unaupiga mwingi vibaya mno.
 
Mpeni mda jamani, bado mapema sana kuanza kumlaumu. Hamtaki, hamieni burundi
Huyu mama wala si wa kumpa muda. maana ishajionyesha dhahiri kuwa si mtu mwenye msimamo kwa kauli zake anazotoa. Anaweza akawa na njema ila wakitokea wahuni na kumshawishi kuhusu kitu fulani hachelewi kubadilika. Hiyo ndio hofu yangu mimi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…