AL AM JF-Expert Member Joined Jan 12, 2019 Posts 252 Reaction score 300 Jul 27, 2021 #41 Au ana bet? Kitaalamu tunasema halftime WON [emoji16][emoji16][emoji23][emoji39][emoji39]
H HRT JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 467 Reaction score 524 Jul 27, 2021 #42 Warue said: Mpeni mda jamani, bado mapema sana kuanza kumlaumu. Hamtaki, hamieni burundi Click to expand... Huyu mama wala si wa kumpa muda. maana ishajionyesha dhahiri kuwa si mtu mwenye msimamo kwa kauli zake anazotoa. Anaweza akawa na njema ila wakitokea wahuni na kumshawishi kuhusu kitu fulani hachelewi kubadilika. Hiyo ndio hofu yangu mimi.
Warue said: Mpeni mda jamani, bado mapema sana kuanza kumlaumu. Hamtaki, hamieni burundi Click to expand... Huyu mama wala si wa kumpa muda. maana ishajionyesha dhahiri kuwa si mtu mwenye msimamo kwa kauli zake anazotoa. Anaweza akawa na njema ila wakitokea wahuni na kumshawishi kuhusu kitu fulani hachelewi kubadilika. Hiyo ndio hofu yangu mimi.