Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Punguza chuki mkuu kumbuka inakuathiri wewe kwanza.Sawa Kama hii nchi tangu ipate uhuru aliiweza msukuma mwenzenu magfuli, nendeni na gwaji boy mkampe pumzi aje amalizie ingwe,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punguza chuki mkuu kumbuka inakuathiri wewe kwanza.Sawa Kama hii nchi tangu ipate uhuru aliiweza msukuma mwenzenu magfuli, nendeni na gwaji boy mkampe pumzi aje amalizie ingwe,
Ukienda kukopa benki.....unarudisha na riba au hela uliokopa.....kwa kua ulikopa 2010,mkopo wa miaka 10,imefika 2018,unagoma kulipa kwa makubaliano.....eti tu kwa kua pesa imeshuka/imepanda thamani?Naomba kueleweshwa kidogo kuhusu ukubwa wa deni la taifa.
Hili deni huwa linathaminishwa kwa Tsh au USD?
Hoja yangu iko hapa; mwaka 2015 wakati JPM anaingia madarakani thamani ya tsh ilikuwa 1800+ kwa dola moja ya marekani na kufikia 2021 thamani imepanda hadi 2300+. Je,kama 2015 mlidaiwa tsh 38T za kitanzani,thamani yake itaendelea kuwa hiyo hiyo au itabadilika kulingana na kupanda ama kushuka kwa dola ya marekani?
Samahani kama niko nje kidogo ya mada ila kuna utata kuhusu nani amelikuza hili deni parefu kati ya marais 3 waliopita.
Ni kweli msukuma amefanikiwa kuua upinzani,amefanikiwa kuua na kutesa wapinzani,amefanikiwa kutoajiri vijana wanaomaliza Chuo kama ilivokua kwa JK,amefanikiwa kukopa 60% ya deni lote la nchi toka tupate uhuru.....viva MSUKUMA JPM[emoji3][emoji16][emoji122][emoji122]Sawa Kama hii nchi tangu ipate uhuru aliiweza msukuma mwenzenu magfuli, nendeni na gwaji boy mkampe pumzi aje amalizie ingwe,
Umasikini, ujinga na malazi au maradhi?Yote na yote yanasababishwa na vitu vitatu, umasikini, ujinga na malazi na hapo Raisi yupo sawa kuna vitu unatakiwa kuwa strong Ili kuvitatua ukifanya mfumo wa kubembeleza watu wanabetweka mfano sasa hivi wanawake wameamua kweli kupigania masilahi yao yawe vizuri kwa njia ya upendeleo au kwa njia za kiungwana lakina wanaume waliopewa jukumu la kuwa vichwa wao wamekaa kimya hata kuomba shule za ufundi ziwe za jinsia za kiume kama wanawake wanavyofanya.
Sasa hapo wakulaumiwa ni hao walioamua kukaa kimya, na pia uwajibikaji umepungua sana kwa vijana na wababa ukisema wapewe huduma bure kesho unakuta wanaume wote bar wakisherekea hawana jukumu la kuuguza, ukisema elimu bure hivyo hivyo inakuwa hivyo wanaume tuamuke kuwajibika na kudai fursa zitakazo inua vipato vya familia sioni dunia ya Leo bado watu wanafanya kazi mchana tena masaa 8 kinachotakiwa ni kazi za shift walioingia Asubuhi watoke jioni na jioni watoke Asubuhi, iwe shule, hospital, umeme au gesi, kujenga, usafirishaji, viwandani, hata michezo hivyo hivyo kusiwepo muda wa kupoteza hapo hizo gharama za kulipa huduma zitapatikana tena kwa gharama ndogo maana vitu vyote vitazalishwa kwa wingi na nchi yote itakuwa nuru muda wote hata mabaya yatakaa mbali.
hatari snKazi ya rais ni kuua upinzani,kujenga kijijini kwao,kuingia uchumi wa kati huku hutoi ajira.......kuvunja katiba na kukopa hela kila siku huku unasema unatumia mapato ya ndani
Du!Hii kazi ilikua ya JPM,kuteka teka watu,kuongopa data,kuvunja katiba,kutoajili raia........kuua upinzani.......JK na Samia hii nchi wameonesha kufeli......viva JPM
Angalia vizuri hiyo exchange rate ya USD. February 2015 ndiyo ilikuwa 1800, kuja October 2015 ilipanda mpaka 2160 - 2208.Naomba kueleweshwa kidogo kuhusu ukubwa wa deni la taifa.
Hili deni huwa linathaminishwa kwa Tsh au USD?
Hoja yangu iko hapa; mwaka 2015 wakati JPM anaingia madarakani thamani ya tsh ilikuwa 1800+ kwa dola moja ya marekani na kufikia 2021 thamani imepanda hadi 2300+. Je,kama 2015 mlidaiwa tsh 38T za kitanzani,thamani yake itaendelea kuwa hiyo hiyo au itabadilika kulingana na kupanda ama kushuka kwa dola ya marekani?
Samahani kama niko nje kidogo ya mada ila kuna utata kuhusu nani amelikuza hili deni parefu kati ya marais 3 waliopita.
Naunga mkono hoja......ila kukopa hela kujenga uwanja kijijini ambapo Bombardier inatua kila akirudi likizo......hapo deni lingepungua tu......viva mzalendo JPM[emoji16]Angalia vizuri hiyo exchange rate ya USD. February 2015 ndiyo ilikuwa 1800, kuja October 2015 ilipanda mpaka 2160 - 2208.
Pili, Magufuli hakumaliza muda wake, inaweza deni la taifa likawa kubwa zaidi 2025 au angeweza kulipunguza kufikia mwisho wa muda wake.
Kikwete alikuta deni la taifa 10 Trilioni, kaondoka likiwa 38 Trilioni.
Mkapa alikuta 18 Trilioni, akakopa then akaanza kulipunguza mpaka Trilioni 10.
Siyo kwamba natetea ukuaji wa deni, ni kuwa naona Magufuli kaondoka gafla na hakujipanga. Deni lingeweza ongezeka zaidi au kupungua.
Sawa kiongozi tupo pamojaspleen endelea kutema #nyongo ila baada ya kutema nyongo, tunaomba utoe hoja.
Wengine tulimkosoa JPM sana, ameshapita.
Sasa tupo na SSH..
Kwa hiyo tuendelee na mambo yetu, au sio?...Hakuna jipya
Okay, under which platform we can use to push our big agendas!We must highlight all issues we need our President to put them right. This must not be restricted to her, we shall extend it to the next Presidents . Never should we be hindered by many good for nothing imbeciles.
Duuh, alisema wapi hii?Makamu wangu alikuwa awe hussein Mwinyi, huyu Mama nililetewa nasema ukweli mbele yake.
Mwisho wa kunukuu..
John joseph pombe Magufuli.
Nashukuru umenijibu ila nadhani hujaelewa swali langu vizuri.Ukienda kukopa benki.....unarudisha na riba au hela uliokopa.....kwa kua ulikopa 2010,mkopo wa miaka 10,imefika 2018,unagoma kulipa kwa makubaliano.....eti tu kwa kua pesa imeshuka/imepanda thamani?
NOTE.
benki,wakikupa riba,inflation rate huwa wanaijumuisha
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].
Ila hii nchi ipo uchumi wa kati Samia ndio anaiharibu......JPM,alikua hakopi yeye.
Another big NOTE.
Nyerere hadi JK wamekopa Trillioni 40,JPM pekee yake amekopa Trillioni 27.....….sisi ni Tanzania mpya A+,sisi ni matajiri[emoji3][emoji122]
Kiongozi umesema jambo kubwa sana.Mimi huwa naamini ili tuendelee si lazima sana kuwa na Rais wa haja ya mioyo yetu au mchapakazi sana n.k.
Ili waafrika tuendelee tunahitaji
1. Kubadili fikra zetu kutoka kuwa tegemezi na kuwa na fikra vumbuzi/tatuzi...
2. Kutunza rasilimali tulizonazo, na kuhakikisha zinatufaidisha, hili lilipaswa kuwa ni jukumu la kila mwenye dhamana...kama madini tuliyonayo yangelikuwa managed vizuri pengine leo hii tusingekuwa hivi tulivyo...
Nimekuelewa hoja yako mkuu kwanza inawezekana angelipunguza baada ya baadhi ya miradi aliyoianzisha kuanza kufanya kazi.Angalia vizuri hiyo exchange rate ya USD. February 2015 ndiyo ilikuwa 1800, kuja October 2015 ilipanda mpaka 2160 - 2208.
Pili, Magufuli hakumaliza muda wake, inaweza deni la taifa likawa kubwa zaidi 2025 au angeweza kulipunguza kufikia mwisho wa muda wake.
Kikwete alikuta deni la taifa 10 Trilioni, kaondoka likiwa 38 Trilioni.
Mkapa alikuta 18 Trilioni, akakopa then akaanza kulipunguza mpaka Trilioni 10.
Siyo kwamba natetea ukuaji wa deni, ni kuwa naona Magufuli kaondoka gafla na hakujipanga. Deni lingeweza ongezeka zaidi au kupungua.
Kuna ndg mmoja humu, ROBERT HERIEL alishauri tuanze kuzinyonya nchi zingine, tuongeze pato la taifa letu.Tuongeze vyanzo vya mapato hapo ndipo tutaweza kusema wazee na watoto wote matibabu bure.....umasikini mkubwa sana vijijini huko hata buku kwa siku mtu hapati...ni shida sasa Rais atafanyeje ? Kwa sasa hana ubavu wowote hata aje nani ....labda siku tukipata pesa za mafuta uganda zitasaidia sana mno boast revenue ....kupunguza makali umasikini ....masna watalipa pesa kubwa sana mwaka 75% bajeti yetu sasa....hapo tutajidai kidogo kupambana umasikini lakini sio kwa bajeti hii 65% tunasaidiwa donors.....
Upo sawa kabisa. Sijajua huwa wana hesabu vipi. Ngoja nifuatilie. Maana tunakopa kwa USD ila tuna hesabu ka TSh wakati interest rate ni tofauti.Nimekuelewa hoja yako mkuu kwanza inawezekana angelipunguza baada ya baadhi ya miradi aliyoianzisha kuanza kufanya kazi.
Swali ni kwamba kwanini tunahoji ukubwa au udogo wa deni kwa hela ya kitanzania kwa marais walioongoza vipindi tofauti na exchange rate za dola zikiwa tofauti? Nadhani hii haijakaa sawa labda kama siasa iko ndani yake.
Unazinyonyaje sasa nao hali yao duni....tusije tukauza nchi bureKuna ndg mmoja humu, ROBERT HERIEL alishauri tuanze kuzinyonya nchi zingine, tuongeze pato la taifa letu.
Wewe unalionaje hilo wazo?