Rais Samia usidanganywe kuwa unakubalika sana na 2025 utashinda kirahisi kama Mzee Makamba anaepalilia ugali wa mwanae

Cheki ulivyo mpumbavu,,asubuhi unawaZa ngono Tu,CCM inajivunia watu kama nyie...go away scum
 
Miaka mitano iliyopita kulikuwa hakuna ukame? Kwa nini Makamba amenunua jenerator la Mw 20 kimyakimya.
Lini uliwahi kupewa mkataba wa manunuzi nchi hii? Ukame wa miaka hii was the worst for years. Kusema kulikuwa na ukame miaka 5 iliyopita naomba uniletee ushahidi
 
Makamba anataka amdanganye nani eti anaupiga mwingi na huku umeme unakata kata!!!?
 
Active kichwa cha habari kama Mzee Makamba anavyokudanganya ili kupalilia ugali wa mwanae.
 
Mtamfanya nini samia na kundi lake nyie wafuasi wa chama cha mambuzi?
 
Naona una hasira sn! Ile roho ya uuaji na utekaji bado inakusumbua kutaka kujitokeza. Tafuta kazi nyingine ufanye sio kugeuza utekaji km ajira ya kudumu
Wewe bwege huna hoja zaidi ya ngonjera za kukariri. Nakupuuza.
 
Wewe ni mpuuzi
Mpuuzi ni wewe uliye ccm na unakuja na uhalo hapa!, Lile katili lenu ndio likitakiwa kuwa la kwanza kushindwa kwenye sanduku la kura 2020!
 

Nakumbuka sana kipindi cha Magufuli wapinzani walipokuwa wanapambana Watanzania wapate katiba mpya mlivyokuwa mnawabeza!!

Nafikiri hamkuelewa kwenye maisha kuna nyakati njema na kuna nyakati ngumu!! Na katiba ingekuwa ni kiungo kizuri sana cha kupata viongozi bora bila kuburuzwa!! Na namna ambayo watanzania wangeweza kutetea haki yao kirahisi.

Shida ni kwamba wakati matumbo yanashiba leo mnasahau kesho njaa inaweza kutokea na namna ya kutatua lazima misingi iwekwe leo!!

Ndo hivyo sasa Samia ndo Rais wako mpaka 2030!! Habari ndo hiyo!!

Endeleeni kubeza kila kinacholetwa na upinzani badala ya kutanguliza Taifa mbele!! Na hilo kundi lillilomzunguka hamna cha kuwafanya na hata 2030 tayari walishakuandalia Rais wa kukuongoza hadi akili ziwakae sawa!!
 
Katika siasa kila kitu kinawezekana..Ndio maana hata Hayati Julius alitawala kwa hii katiba na rasilimali za nchi zikalindwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…