johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Huyo anauza mbege Rau madukani!You must be ignorant on economic issues you better shut your mouth. Hii sio siasa hapa ni hali ya kiuchumi inayosababishwa na vita, wewe hata hutazami TV au Redio (CNN, BBC nk.) unashangaza sana. Rais kasema uongo wapi huna maana kabisa.
Tatizo Wese huko duniani linapanda bei kila dakika.
Sioni waziri mwenye msuli wa kutunasua katika hili
Uzuri wa kupanda vitu bei kuna athari kwa kila mtu hata uwe CCM ama Chadomo joto lilelile
Watanzania wanapenda kuambiwa propaganda za uongo kama kipindi kile cha awamu ya tano.You must be ignorant on economic issues you better shut your mouth. Hii sio siasa hapa ni hali ya kiuchumi inayosababishwa na vita, wewe hata hutazami TV au Redio (CNN, BBC nk.) unashangaza sana. Rais kasema uongo wapi huna maana kabisa.
Na akisemwa anakimbilia kwenye jinsiaMimi nilifikiri anakuja na suluhu ya hilo tatizo kumbe analalamika tu
Rais anawaambia ukweli. Huu sio wakati wa kudanganywa kwamba sisi ni nchi tajiri. Hawa Warusi na Ukraine walijiandaa muda mrefu nyie mkiwa mmelala huku bei zikiendelea kupanda. Pia hatuna export yoyote ya maana. Viwanda 3000 vya yule waziri na mwendazake havijawahi kuwepo. Tumezoea kudanganywa. Tuupokee ukweli live.Baada ya kisingizio cha Corona kuisha sasa ni Ukraine vs Russia!!
Inasikitisha
Kauli ya rais imejaa kulalamika haijatoa mwelekeo serikali kukabiliana na hili.You must be ignorant on economic issues you better shut your mouth. Hii sio siasa hapa ni hali ya kiuchumi inayosababishwa na vita, wewe hata hutazami TV au Redio (CNN, BBC nk.) unashangaza sana. Rais kasema uongo wapi huna maana kabisa.
Kwani aliwahi kuwa na mbinu?Aisee ina maana kaishiwa mbinu?
Ukweli mchungu.Tatizo Wese huko duniani linapanda bei kila dakika.
Sioni waziri mwenye msuli wa kutunasua katika hili
Kwani amekuambia hana solution?..anatakiwa aje na mikakati ya kukabiliana na hali hiyo.
..yeye ndio Raisi wetu bila kujali bei ya wese imepanda au imeshuka.
..na mbona kipindi bei ya wese inaposhuka hatutangaziwi NEEMA?