Sildenafil Citrate
JF-Expert Member
- Jan 29, 2021
- 577
- 2,595
... ndio tunaelekea kwenye genetically modified foods au?... kufanyia fortification mazao na vyakula ...
Maza sio haba mkuu🤣🤣🤣Anafahamu haya maswara kweri-kweri
Mama kaongea vitu viwili,moja kuzaa na nyingine kupeleka moto kweri kweri (magufuri)Kuzaa kunahitaji mkongo?
Mbona watu wanazaana sana m
Unachojua ni ufipa tu, fisi wewe!Ni Kweli kabisa
Kizazi cha Ufipa Energy na Mo Energy
Lkn vyanzo vya mapato hajui. Anatoza tu.Anafahamu haya maswara kweri-kweri
Au pengine ni kijana wakeKwamba kuna jamaa alitumia hivyo vitu kwa bi tozo?
Uzuri huyu wa sasa jibu lake ni waache mdomo umeumbiwa kusema kuna yule ambaye hii hoja yako ingekuwa ajira kwa watu fulani fulani na huenda hilo vumbi ungelifahamu kwa namna isiyopendeza.Aisifuye mvua imemnyea...mkongo kaujuaje?🤣
Mimi wa kiume hata siujui