Rais Samia: Vumbi la Mkongo na Supu ya pweza ni matokeo ya lishe duni

Rais Samia: Vumbi la Mkongo na Supu ya pweza ni matokeo ya lishe duni

Sildenafil Citrate

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2021
Posts
577
Reaction score
2,595
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema kuwa changamoto inayowapata vijana wanapotaka kuongeza jamii inatonakana na uwepo wa lishe duni.

Ametolea mfano wa matumizi makubwa ya vumbi la mkongo na supu ya pweza kwa vijana wa kiume, pamoja na matumizi makubwa ya chips mtaani.

Ameshauri utafiti makini uweze kufanyika ili kubaini chanzo halisi cha tatizo hili pamoja na kuongeza kasi ya kufanyia fortification mazao na vyakula hadi ngazi za chini kabisa nchini ili watu wapate lishe bora.

Ameyasema hayo wakati akishiriki hafla utiaji saini Mkataba wa Usimamiaji wa Shughuli za Lishe leo tarehe 30 Septemba, katika Jengo la Kitega Uchumi jijini Dodoma
 
Mimi huyu mwanamama sijamuelewa anaposema, wanapata shida wakifika kipindi cha kuongeza jamii hadi watumie supu ya pweza!


Supu ya pweza inasababisha mimba kwa mwenye tatizo la kuto kutia mimba?

Nilikua nikijua supu inawasaidia wenye shida ya kusimamisha mashine...!


Waziri hana taarifa, rais hana taarifa ....kama nchi tupo tupo tu
 
[emoji12]
IMG-20220930-WA0024.jpg
fb291897bf564e5c9cd8ddcb61231783.jpg
 
Aisifuye mvua imemnyea...mkongo kaujuaje?🤣
Mimi wa kiume hata siujui
Uzuri huyu wa sasa jibu lake ni waache mdomo umeumbiwa kusema kuna yule ambaye hii hoja yako ingekuwa ajira kwa watu fulani fulani na huenda hilo vumbi ungelifahamu kwa namna isiyopendeza.
 
Back
Top Bottom