Sildenafil Citrate
JF-Expert Member
- Jan 29, 2021
- 577
- 2,595
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema kuwa changamoto inayowapata vijana wanapotaka kuongeza jamii inatonakana na uwepo wa lishe duni.
Ametolea mfano wa matumizi makubwa ya vumbi la mkongo na supu ya pweza kwa vijana wa kiume, pamoja na matumizi makubwa ya chips mtaani.
Ameshauri utafiti makini uweze kufanyika ili kubaini chanzo halisi cha tatizo hili pamoja na kuongeza kasi ya kufanyia fortification mazao na vyakula hadi ngazi za chini kabisa nchini ili watu wapate lishe bora.
Ameyasema hayo wakati akishiriki hafla utiaji saini Mkataba wa Usimamiaji wa Shughuli za Lishe leo tarehe 30 Septemba, katika Jengo la Kitega Uchumi jijini Dodoma