GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
"Hayati Dk. Magufuli ndiyo Rais pekee aliyefanya Kazi za Baraka zaidi na Watanzania tutamkumbuka na tunamkumbuka hadi sasa" amesema Mtume Wao ( siyo wangu ) Mwamposa Ibadani Kwake leo.
Haya Rais Samia Kazi Kwako kwa Mtu ambaye umeshammilikisha eneo la Tanganyika Packers aendelee na Huduma yake na Asifukuzwe au Asiondoshwe tena hapo.
Wakati ukionyesha Kumkubali na muda mwingine hata Kumuomba akuombee na Watendaji wako Serikalini Mwenzako ndiyo Kwanza tena kwa Dharau, Jeuri na Kiburi kingi anaonyesha Kumkubali zaidi Mtangulizi wako Hayati Dk. Magufuli kwa Utawala wake ila Wewe wala hakukubali kabisa na anakukubali Kinafiki tu huku Akikusanifu pia ili tu Usimtoe hapo anapopategemea Kuwadanganya Wavivu wa Kufikiri Tanganyika Packers ili aendelee Kuwachuna ( Kupiga Pesa ) zao huku Akitajirika na Wao wakiendelea kuwa Masikini na Wengine hata Kurukwa na Akili ( Kudata ) mazima.