Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,994
Picha kabla ya Uhuru,inakaribia miaka 120 iliyopita.Nadhani hawa watu wanathamani zaidi kuliko hizo TAKATAKA zilizopo ikulu, wanastahili zaidi asali, wanastahili huduma bora za afya, wanastahili maji, umeme wa uhakika, elimu bora, miundombinu bora n.k
Wala hawahitaji semina, hafla za pongezi sijui birthday party, ziara, uchawa n.k
View attachment 2557839