Rais Samia wakati ukisheherekea Miaka yako Miwili hiki ndicho anachokisema Mwamposa Kanisani Kwake sasa...

Very easy chukuwa na wewe eneo pale tanganyika packers. Uwa kusanye kama ni raisi. Mwanaume kumfwatilia mwanaume mwenzako ni ushoga
 
Mwamposa anamkubali zaidi Hayati Dk. Magufuli kuliko Rais Samia hivyo wanampa tu hilo eneo hapo la Tanganyika Packers bure wakati Yeye hampendi Mama ( Rais ), ila anampenda Kinafiki huku Akimsanifu. Wamwondoe haraka hapa Kawe Tanganyika Packers tafadhali.
Kwani hilo eneo ni la Mama samia?
 
"Hayati Dk. Magufuli ndiyo Rais pekee aliyefanya Kazi za Baraka zaidi na Watanzania tutamkumbuka na tunamkumbuka hadi sasa" amesema Mtume Wao ( siyo wangu ) Mwamposa Ibadani Kwake leo.

Haya Rais Samia Kazi Kwako kwa Mtu ambaye umeshammilikisha eneo la Tanganyika Packers aendelee na Huduma yake na Asifukuzwe au Asiondoshwe tena hapo.

Wakati ukionyesha Kumkubali na muda mwingine hata Kumuomba akuombee na Watendaji wako Serikalini Mwenzako ndiyo Kwanza tena kwa Dharau, Jeuri na Kiburi kingi anaonyesha Kumkubali zaidi Mtangulizi wako Hayati Dk. Magufuli kwa Utawala wake ila Wewe wala hakukubali kabisa na anakukubali Kinafiki tu huku Akikusanifu pia ili tu Usimtoe hapo anapopategemea Kuwadanganya Wavivu wa Kufikiri Tanganyika Packers ili aendelee Kuwachuna ( Kupiga Pesa ) zao huku Akitajirika na Wao wakiendelea kuwa Masikini na Wengine hata Kurukwa na Akili ( Kudata ) mazima.
Huyo jamaa kakuchukulia demu Nini🤣🤣
 
Huo ndiyo UKWELI.Nadhani mleta mada ni moja kati ya watu wenye mtindio wa Ubongo au mlambishwa asali maana inahitaji ujasiri wa hali ya juu kufumbia macho juhudi zilizofanyika awamu ya tano na kulinganisha na hii TAKATAKÀ ya awamu hii.Ni UPUMBAVU kujaribu kulinganisha awamu ya maendeleo nyanja zote (elimu, afya,nishati, miundombinu n.k) na awamu ya hafla,semina,pongezi,asali,asali,asali....chawa, ziara 😀.Awamu hii ni awamu ya hovyo kuwahi kutokea Tz.
Mkuu mimi naungana sana na wewe ila tupunguze ukali wa maneno wakati tunaelekeza mashambulizi kwa Mama na machawa wake tukiwajumlisha na chadema.
Mwamposa yuko Sahihi kabsaa mama hana baraka,Tangu aingie madarakani mvua haijawai kunyesha, imenyesha leo na Yanga wanacheza na wanafungwa leo......Labda mechi iharishwe.
 
Amekutapeli nini wewe!? Acha hizi chuki. Heshimu imani ya mtu. Hakuna anayelazimishwa kwenda kwa Mwamposa. Wanaoenda wanajua kwa nini wanaenda. By the waya Biblia kila mtu ana namna yake ya kuisoma na kuielewa.
Tena hao wavaa ushungi wengi kutokea temeke huku na mipepo yao ndo huwa wanajaa kwa Mwamposa!
 
Si bure Genta utakuwa umenyimwa bahasha ya kaki na huyo jamaa 😂!.
 
"Hayati Dk. Magufuli ndiyo Rais pekee aliyefanya Kazi za Baraka zaidi na Watanzania tutamkumbuka na tunamkumbuka hadi sasa" amesema Mtume Wao ( siyo wangu ) Mwamposa Ibadani Kwake leo.

Haya Rais Samia Kazi Kwako kwa Mtu ambaye umeshammilikisha eneo la Tanganyika Packers aendelee na Huduma yake na Asifukuzwe au Asiondoshwe tena hapo.

Wakati ukionyesha Kumkubali na muda mwingine hata Kumuomba akuombee na Watendaji wako Serikalini Mwenzako ndiyo Kwanza tena kwa Dharau, Jeuri na Kiburi kingi anaonyesha Kumkubali zaidi Mtangulizi wako Hayati Dk. Magufuli kwa Utawala wake ila Wewe wala hakukubali kabisa na anakukubali Kinafiki tu huku Akikusanifu pia ili tu Usimtoe hapo anapopategemea Kuwadanganya Wavivu wa Kufikiri Tanganyika Packers ili aendelee Kuwachuna ( Kupiga Pesa ) zao huku Akitajirika na Wao wakiendelea kuwa Masikini na Wengine hata Kurukwa na Akili ( Kudata ) mazima.
Kumbe eeh
 
Huo ndiyo UKWELI.Nadhani mleta mada ni moja kati ya watu wenye mtindio wa Ubongo au mlambishwa asali maana inahitaji ujasiri wa hali ya juu kufumbia macho juhudi zilizofanyika awamu ya tano na kulinganisha na hii TAKATAKÀ ya awamu hii.Ni UPUMBAVU kujaribu kulinganisha awamu ya maendeleo nyanja zote (elimu, afya,nishati, miundombinu n.k) na awamu ya hafla,semina,pongezi,asali,asali,asali....chawa, ziara 😀.Awamu hii ni awamu ya hovyo kuwahi kutokea Tz.
Tofauti ni kubwa sana.. Kipindi cha Magu uongo ulikuwa mwingi sana na unapambwa kuwa kweli. Uhuru wa Kumilik uchumi ulikuwa hamna magenge yaliongezeka watu wenye wiv na ubinafsi walikuwa wengi na demokrasia ilizikwa. Wasema kweli kama Mh Lissu walipigwa Risasi adharan kilichokuwa kimebaki ni kusifia tu mtu mmoja.. Awamu ya mama iko fair kwa watu wote ukiweza kupambana kuwa mtu flan ni juhud zako hakuna kubebwa bebwa mgongon. Nchi imekuwa nzr kwa watu wote na dunian wameelewa mpaka Makamu wa Raisi wa Marekan anakuja Bongo.
 
"Hayati Dk. Magufuli ndiyo Rais pekee aliyefanya Kazi za Baraka zaidi na Watanzania tutamkumbuka na tunamkumbuka hadi sasa" amesema Mtume Wao ( siyo wangu ) Mwamposa Ibadani Kwake leo.

Haya Rais Samia Kazi Kwako kwa Mtu ambaye umeshammilikisha eneo la Tanganyika Packers aendelee na Huduma yake na Asifukuzwe au Asiondoshwe tena hapo.

Wakati ukionyesha Kumkubali na muda mwingine hata Kumuomba akuombee na Watendaji wako Serikalini Mwenzako ndiyo Kwanza tena kwa Dharau, Jeuri na Kiburi kingi anaonyesha Kumkubali zaidi Mtangulizi wako Hayati Dk. Magufuli kwa Utawala wake ila Wewe wala hakukubali kabisa na anakukubali Kinafiki tu huku Akikusanifu pia ili tu Usimtoe hapo anapopategemea Kuwadanganya Wavivu wa Kufikiri Tanganyika Packers ili aendelee Kuwachuna ( Kupiga Pesa ) zao huku Akitajirika na Wao wakiendelea kuwa Masikini na Wengine hata Kurukwa na Akili ( Kudata ) mazima.
Kila mtu na anayemkubali,tusilazimishane na Kila mtu ana sababu zake..

So Mwamposa asiseme tunamkubali ajisemee yeye kumkubali Mwendazake,binafsi sijawahi na sitowahi mkubali Mwendazake..

Ndio maana ukimwambia huyo Mwamposa sababu zake hasa ni zipi hana sababu za maana zaidi ya mahaba binafsi tuu..

Sasa mtu akiwa na Mahaba binafsi huwezi mlazimisha akukubali na Moja ya sifa ya Rais Samia ni hii Huwa hajali mnasema nini bali Yuko focused kwenye mambo yake,kazi ndio zinaongea hayo mengine ni ya kina Mwamposa na watu wanaomkubali Mwendazake na sio dhambi.
 
Huo ndiyo UKWELI.Nadhani mleta mada ni moja kati ya watu wenye mtindio wa Ubongo au mlambishwa asali maana inahitaji ujasiri wa hali ya juu kufumbia macho juhudi zilizofanyika awamu ya tano na kulinganisha na hii TAKATAKÀ ya awamu hii.Ni UPUMBAVU kujaribu kulinganisha awamu ya maendeleo nyanja zote (elimu, afya,nishati, miundombinu n.k) na awamu ya hafla,semina,pongezi,asali,asali,asali....chawa, ziara [emoji3].Awamu hii ni awamu ya hovyo kuwahi kutokea Tz.
Taka taka mama yako alie kuzaa. Usimtukane raisi wetu.
 
"Hayati Dk. Magufuli ndiyo Rais pekee aliyefanya Kazi za Baraka zaidi na Watanzania tutamkumbuka na tunamkumbuka hadi sasa" amesema Mtume Wao ( siyo wangu ) Mwamposa Ibadani Kwake leo.

Haya Rais Samia Kazi Kwako kwa Mtu ambaye umeshammilikisha eneo la Tanganyika Packers aendelee na Huduma yake na Asifukuzwe au Asiondoshwe tena hapo.

Wakati ukionyesha Kumkubali na muda mwingine hata Kumuomba akuombee na Watendaji wako Serikalini Mwenzako ndiyo Kwanza tena kwa Dharau, Jeuri na Kiburi kingi anaonyesha Kumkubali zaidi Mtangulizi wako Hayati Dk. Magufuli kwa Utawala wake ila Wewe wala hakukubali kabisa na anakukubali Kinafiki tu huku Akikusanifu pia ili tu Usimtoe hapo anapopategemea Kuwadanganya Wavivu wa Kufikiri Tanganyika Packers ili aendelee Kuwachuna ( Kupiga Pesa ) zao huku Akitajirika na Wao wakiendelea kuwa Masikini na Wengine hata Kurukwa na Akili ( Kudata ) mazima.
We jamaa unajua kusagia kunguni aisee😂
 
Siku hizi mkitoka Ibadani kwa Mtume Wenu Mwamposa mnaruhusiwa Kutukana na kuwa na Hasira hivi?
Huna jipya. Wapuuzi wenzio wako Rafia pale Africana Wana sifu na kumuabudu huyo Maza. Miaka miwili hata Barbara ya km 100 hakuna. Ni mikopo na Tozo Tu. Zinafanyia nini hakuna zaidi ya blaa blaa. Sasa hivi kaibukia NHIF.
 
Back
Top Bottom